Swali Chokonozi:Je Diamond mwakani atamfanyia party kubwa mwanaye aliyezaa na Hamisa Mobeto?

Hivi hamnaga magrup ya wasap ya kina team diamond muulizane uko? Mnatujazia seva tuu apa
 
Sahivi anatupia chenji kwenye kibubu, mwakani mambo ni fayaaa, keki ngazi tisa, mzaa chema ndani ya gauni la mshazali,nyuma yake watasimama mabaunsa wanne woyooooo!!!!
 
Hiyo ni kawaida kwa wanaume, ukizaa pembeni nje ya mama mkubwa ujue huyo mtoto atakosa favours za wale wa ndani. Sioni kwanini inaumiza watu kichwa. Zaa na Mume wako.
Kwani alimwoa lini Zari.Dai mpaka Sasa na yeye anazini tu wote mahawara ndio maana wanagombania kwenye mitandao.Wangekuwa wameolewa wangetulia wote Kama wake au mke.Dai anawai enjoy tu na soon atawapiga chini wote au mmoja wapo au yeye mwenyewe afe kwa pressure
 
Yupo member humu kasema yoyote anayezaa na Mondi basi birthday party inakuwa sponsored na makampuni aje kutoa ushuhuda inaelekea ni mwajiriwa wa wasafi
 
Hiyo ni kawaida kwa wanaume, ukizaa pembeni nje ya mama mkubwa ujue huyo mtoto atakosa favours za wale wa ndani. Sioni kwanini inaumiza watu kichwa. Zaa na Mume wako.
Watu wanataka wapewe favour sawasawa kitu ambacho sio rahisi. Wao na familia zao wanaweza?
 

Inajulikana na ni official kua zari na Diamond ni partners. Hiyo haitoi ticket Kisa hawajafunga ndoa basi Kina mobeto muone diamond yupo single.
Hata ndoa ilianza na uboyfriend na ugirlfriend. Watu wanaishi miaka 100 bila ndoa wanakuja kubariki uzeeni sembuse mondi na zari.
 
kwani umeambiwa hamtunzi?Wasaidizi wa hukumu wa Mungu mna kazi
 
Huyu mtoto mzuri balaaa kuzidi wale wote,,asimpofanyia atakua hana akili aangalie mastar wengine aige mfano
Hahaha kibaya zaidi..tifa kazaliwa trh 6/8 huyu dogo trh 8/7.......
Kwahiyo dully atachuniwa..baba atazuga yuko south kwa bday ya tiffa....
Wanaume nao wakomege.....hawaangaliagi..kazi kuvua vyupi tu..saasa diamond anajutra....
 
Aaah kama mama nae atachangia million hata 50 basi party itaweza kufanyika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…