Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahivi anatupia chenji kwenye kibubu, mwakani mambo ni fayaaa, keki ngazi tisa, mzaa chema ndani ya gauni la mshazali,nyuma yake watasimama mabaunsa wanne woyooooo!!!!Atafanyiwa na Mwijaku
Lakini si lazima afanyiwe party ndio aonekane anapendwa.....Hamisa atapambana ili amfanyie party kubwa hata kwa kiingilio ili mradi kushindana na Zari......
Hamisa lazima akope ikiwezekana lakini party lazima amfanyie................
Afu hapa celebrities forum tuandike nini jameni, bro kwanini usiende jukwaa la siasaHivi hamnaga magrup ya wasap ya kina team diamond muulizane uko? Mnatujazia seva tuu apa
bora useme wewe Evelyn ,majitu ya hivi huwa yananiboa sana.Afu hapa celebrities forum tuandike nini jameni, bro kwanini usiende jukwaa la siasa
Yangekua karibu tungeyapiga mitama au sio!!!bora useme wewe Evelyn ,majitu ya hivi huwa yananiboa sana.
Kwani alimwoa lini Zari.Dai mpaka Sasa na yeye anazini tu wote mahawara ndio maana wanagombania kwenye mitandao.Wangekuwa wameolewa wangetulia wote Kama wake au mke.Dai anawai enjoy tu na soon atawapiga chini wote au mmoja wapo au yeye mwenyewe afe kwa pressureHiyo ni kawaida kwa wanaume, ukizaa pembeni nje ya mama mkubwa ujue huyo mtoto atakosa favours za wale wa ndani. Sioni kwanini inaumiza watu kichwa. Zaa na Mume wako.
Yupo member humu kasema yoyote anayezaa na Mondi basi birthday party inakuwa sponsored na makampuni aje kutoa ushuhuda inaelekea ni mwajiriwa wa wasafiNaisubiria kwa hamu siku yake ya kuzaliwa Abdul Naseeeb mtoto halali wa Diamond Platnumz a.k.a Muuza Karanga na Hamisa Mobeto Chuchunge au ukipenda muite mbu (Anopheles) nataka kuona kama kweli Mondi atamfanyia party ya gharama kama anazowafanyia hawa Nillan na Tee au laah atamchinjia baharini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana bajeti za party za Nillan na Tee ni zaidi ya milioni 200 ambazo zinatumika kwa siku moja tu ,sasa ngoja tuone kwa mtoto wa mbu/chuchunge kama naye atafanyiwa hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 657704Maskini haka katoto kanavyonyanyasika mpaka kanatia huruma kwa kweli .[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Watu wanataka wapewe favour sawasawa kitu ambacho sio rahisi. Wao na familia zao wanaweza?Hiyo ni kawaida kwa wanaume, ukizaa pembeni nje ya mama mkubwa ujue huyo mtoto atakosa favours za wale wa ndani. Sioni kwanini inaumiza watu kichwa. Zaa na Mume wako.
Kwani alimwoa lini Zari.Dai mpaka Sasa na yeye anazini tu wote mahawara ndio maana wanagombania kwenye mitandao.Wangekuwa wameolewa wangetulia wote Kama wake au mke.Dai anawai enjoy tu na soon atawapiga chini wote au mmoja wapo au yeye mwenyewe afe kwa pressure
kwani umeambiwa hamtunzi?Wasaidizi wa hukumu wa Mungu mna kaziSema jinsi anavyo mwi ignore huyu mtoto ndio Mungu atakayembariki nakumfanya awe juu .siku zote huwa inakuwabhivyo .Hata yeye ndikoo alikotokea .Ila n kingine Dai ataanza kuporomoka taratibu mpaka Mungu amwonyeshe kuwa huyu mtoto Ni zaidi ya binadamu wengine unaowatunza
wabaya niwapi??? ao uliwo waumba wew ndo wazuri ? kinyesi brainHuyu mtoto mzuri balaaa kuzidi wale wote,,asimpofanyia atakua hana akili aangalie mastar wengine aige mfano
Hahaha kibaya zaidi..tifa kazaliwa trh 6/8 huyu dogo trh 8/7.......Huyu mtoto mzuri balaaa kuzidi wale wote,,asimpofanyia atakua hana akili aangalie mastar wengine aige mfano