Swali Chokozi: Wapigane ili Waheshimiane?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Na. M. M. Mwanakijiji

Nakumbuka zamani kulikuwa na watu wachonganishi - najua bado wapo. Watu hawa kwa asili yao wanapenda ugomvi na wakati mwingine wanachochea ugomvi unoge ili wao wafaidike kwa namna fulani. Wanaweza kumfuata na kumuambia mtu:

"Aisee unajua jamaa anasema we ni wa hovyo kabisa" wanaondoka na kumuacha jamaa anashangaa. Wanamuendea yule jamaa mwingine.

"Aisee jamaa ansema ati unamuita yeye wa hovyo, ni kweli". Ndipo mambo yanapoanza mwisho wa siku jamaa wanamuambia. "Aisee amesema akikuona atakukunja!!". Jamaa anaanza kupata munkari. Anatuma ujumbe na kuwaambia wamwambie "mahali popote na saa yoyote yeye hatishwi".

Nakumbuka jamaa ilianza hivi hivi mwisho wakaweka miadi baada ya shule, wanafunzi wote walijua kuna ngumi ztapigwa. Pembeni ya jumba moja gofu na hakun watu wazima watu wakaweka mduara na mchonganishi nambari moja akachukua mchanga akaweka kiganjani na kuwataka jamaa wazipige; lakini kama kweli lazima "wapete". Huyu akapeta, na yule akapata.

Mwenye maneno mengi akaanza kutanua misuri, mara akavua shati, akaanza kujifanya yeye Bruce Lee!! Mara anazunguka mashabiki wake wakishangilia. Yule mwingine naye akaanza kukunja tu shati lake anamuangalia jamaa anavyokwenda kwenda kwenye kilingo. Jamaa akaja mzima mzima kumvaa akamkwepa utadhani Steven Seagal! Na kwa madoido kama ya Jean Claude Van Damme akamtwanga ngumi moja jamaa alitoka mkukuu hadi akahama shule... heshima ikawekwa. Na wambeya wakanyamazishwa.

Hawa jamaa inabidi wazipige tu wenyewe ili hatimaye waheshimiane na dunia itulie. Mikwara mingi inaturusha roho bure tu. Kama wote wanadai Mungu yuko upande wao basi ama ni Mungu kigeugeu au mmoja hana Mungu au wote hawana Mungu!
 
downloadfile.png
 
Hahahaa!

Huyo ni mimi aisee enzi za utoto.

Nakumbuka nilipokuwa bado nipo shule ya vidudu nilipigana na jamaa baada ya kusikia kwa watu kuwa kasema yeye anaweza kunipiga.

Niliposikia hivyo nikasema hawezi kabisa kunipiga.

Basi ikabidi tukutane ili tuzipige.

Kusema kweli jamaa alikuwa na nguvu sana na ndo ilikuwa mara yangu ya mwisho kudundwa 🤣.
 
shule ya vididu au supu?(sub-standard)
Vidudu utapiganaje
 
Sijui nawaza nini ila kwa kua Mungu wa Israel ameshindwa kuwaonesha wana wa Israel alama za nyakati basi Mungu wa wote awe juu ya wapalestina na washirika wake!
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Nakumbuka zamani kulikuwa na watu wachonganishi - najua bado wapo. Watu hawa kwa asili yao wanapenda ugomvi na wakati mwingine wanachochea ugomvi unoge ili wao wafaidike kwa namna fulani. Wanaweza kumfuata na kumuambia mtu:

"Aisee unajua jamaa anasema we ni wa hovyo kabisa" wanaondoka na kumuacha jamaa anashangaa. Wanamuendea yule jamaa mwingine.

"Aisee jamaa ansema ati unamuita yeye wa hovyo, ni kweli". Ndipo mambo yanapoanza mwisho wa siku jamaa wanamuambia. "Aisee amesema akikuona atakukunja!!". Jamaa anaanza kupata munkari. Anatuma ujumbe na kuwaambia wamwambie "mahali popote na saa yoyote yeye hatishwi".

Nakumbuka jamaa ilianza hivi hivi mwisho wakaweka miadi baada ya shule, wanafunzi wote walijua kuna ngumi ztapigwa. Pembeni ya jumba moja gofu na hakun watu wazima watu wakaweka mduara na mchonganishi nambari moja akachukua mchanga akaweka kiganjani na kuwataka jamaa wazipige; lakini kama kweli lazima "wapete". Huyu akapeta, na yule akapata.

Mwenye maneno mengi akaanza kutanua misuri, mara akavua shati, akaanza kujifanya yeye Bruce Lee!! Mara anazunguka mashabiki wake wakishangilia. Yule mwingine naye akaanza kukunja tu shati lake anamuangalia jamaa anavyokwenda kwenda kwenye kilingo. Jamaa akaja mzima mzima kumvaa akamkwepa utadhani Steven Seagal! Na kwa madoido kama ya Jean Claude Van Damme akamtwanga ngumi moja jamaa alitoka mkukuu hadi akahama shule... heshima ikawekwa. Na wambeya wakanyamazishwa.

Hawa jamaa inabidi wazipige tu wenyewe ili hatimaye waheshimiane na dunia itulie. Mikwara mingi inaturusha roho bure tu. Kama wote wanadai Mungu yuko upande wao basi ama ni Mungu kigeugeu au mmoja hana Mungu au wote hawana Mungu!
Sijaona swali hapo. Au Pendekezo Chochezi
 
Na. M. M. Mwanakijiji
akachukua mchanga akaweka kiganjani na kuwataka jamaa wazipige; lakini kama kweli lazima "wapete". Huyu akapeta, na yule akapata.
umenikumbusha mbali ni “puta” sio pete au peta
Kama wote wanadai Mungu yuko upande wao basi ama ni Mungu kigeugeu au mmoja hana Mungu au wote hawana Mungu!
Au kila mmoja ni kweli Mungu yuko upande wao ila huyo Mungu sio mmoja, kila mmoja ana mungu wake na yuko upande wake japo watu wanadhani huyo wanayemwanini ni Mungu Baba kumbe sio Mungu bali ni mungu shetani ambaye hupenda sana kuji disguise as Mungu.
p
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Nakumbuka zamani kulikuwa na watu wachonganishi - najua bado wapo. Watu hawa kwa asili yao wanapenda ugomvi na wakati mwingine wanachochea ugomvi unoge ili wao wafaidike kwa namna fulani. Wanaweza kumfuata na kumuambia mtu:

"Aisee unajua jamaa anasema we ni wa hovyo kabisa" wanaondoka na kumuacha jamaa anashangaa. Wanamuendea yule jamaa mwingine.

"Aisee jamaa ansema ati unamuita yeye wa hovyo, ni kweli". Ndipo mambo yanapoanza mwisho wa siku jamaa wanamuambia. "Aisee amesema akikuona atakukunja!!". Jamaa anaanza kupata munkari. Anatuma ujumbe na kuwaambia wamwambie "mahali popote na saa yoyote yeye hatishwi".

Nakumbuka jamaa ilianza hivi hivi mwisho wakaweka miadi baada ya shule, wanafunzi wote walijua kuna ngumi ztapigwa. Pembeni ya jumba moja gofu na hakun watu wazima watu wakaweka mduara na mchonganishi nambari moja akachukua mchanga akaweka kiganjani na kuwataka jamaa wazipige; lakini kama kweli lazima "wapete". Huyu akapeta, na yule akapata.

Mwenye maneno mengi akaanza kutanua misuri, mara akavua shati, akaanza kujifanya yeye Bruce Lee!! Mara anazunguka mashabiki wake wakishangilia. Yule mwingine naye akaanza kukunja tu shati lake anamuangalia jamaa anavyokwenda kwenda kwenye kilingo. Jamaa akaja mzima mzima kumvaa akamkwepa utadhani Steven Seagal! Na kwa madoido kama ya Jean Claude Van Damme akamtwanga ngumi moja jamaa alitoka mkukuu hadi akahama shule... heshima ikawekwa. Na wambeya wakanyamazishwa.

Hawa jamaa inabidi wazipige tu wenyewe ili hatimaye waheshimiane na dunia itulie. Mikwara mingi inaturusha roho bure tu. Kama wote wanadai Mungu yuko upande wao basi ama ni Mungu kigeugeu au mmoja hana Mungu au wote hawana Mungu!
Naunga mkono, zichapwe
 
GY4ZEgja0AAF-w2.jpeg
 
Waachwe watwangane!
Make Huo ni ugomvi wa ndugu wa kambo.
Wengine tufanye ya kwetu!
 
Tema mate- tuzichape tuheshimiane… hiyo kauli ilinifanya nikamuuma kidole mwenzangu hadi kikaninginia. Tangu siku hiyo hadi sasa , tukawa mabest. Heshima ilirudi Kwa kweli na ule ujinga wake wa kunifutia a e i o u zangu nilizoziandika kwenye mchanga zikakoma kabisa…
 
Back
Top Bottom