Swali fikirishi: Arsene Wenger ana tatizo gani, Hofu aliyonayo inatokana na nini?

Ni kitu kibaya sana watu wachezaji wanapotaka kujadili mwenendo wa kocha wao wanalificha jina lake ili ionekane anaongelewa mornho kisa wana hofu ya kufutwa kwenye USO wa clab
 
Hahahahaha yaani watu mnalugha tofauti tofauti yote hii mnakwepa kupima mkojo msimu ujao tutachukua makombe yote mpaka UEFA mashabiki tulizeni mikia chini
 
Ni kitu kibaya sana watu wachezaji wanapotaka kujadili mwenendo wa kocha wao wanalificha jina lake ili ionekane anaongelewa mornho kisa wana hofu ya kufutwa kwenye USO wa clab
Nani anapenda za uso
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja

Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
 
Mkuu nitapata a half engine ya swaraj Mazda?
 
mzee wenger amekaa CHINA nusu ya maisha yake somo la uchumi lipo mdomoni mwake
 
Ni kitu kibaya sana watu wachezaji wanapotaka kujadili mwenendo wa kocha wao wanalificha jina lake ili ionekane anaongelewa mornho kisa wana hofu ya kufutwa kwenye USO wa clab
Hapana mkuu, sisi ni mashabiki tu ila imekuwa hatari kweli siku hizi hadi mashabiki hatupo salama! Wenger mbaya sana si umeona hata vyombo vya habari havitakiwi kuandika madhaifu ya benchi la ufundi. Wenger ni muoga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…