magesa sam
Member
- Aug 16, 2017
- 50
- 39
Ni kitu kibaya sana watu wachezaji wanapotaka kujadili mwenendo wa kocha wao wanalificha jina lake ili ionekane anaongelewa mornho kisa wana hofu ya kufutwa kwenye USO wa clab
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kitu kibaya sana watu wachezaji wanapotaka kujadili mwenendo wa kocha wao wanalificha jina lake ili ionekane anaongelewa mornho kisa wana hofu ya kufutwa kwenye USO wa clab[/QUOTE
Hahahh wanamjua kocha wao akisikia achelewi kusugulisha wachezaji benchi
Mkuu nitapata a half engine ya swaraj Mazda?Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu ya kijanja yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja
Simu zetu ni toleo jipya la mwaka 2018
Anamuogopa yule alomzalishaaWenger kaambiwa akatubu analialia sjui anamuogopa nani
Fika hapa kkoo gerezani. Utapata huduma hiyo mzee babaMkuu nitapata a half engine ya swaraj Mazda?
Daah sasa Wenger hapo amezidisha!!! Ina maana hajui kuwa urefa ni mhimili unaojitegemea?Juzi alitamani kuwa refa
Hapana mkuu, sisi ni mashabiki tu ila imekuwa hatari kweli siku hizi hadi mashabiki hatupo salama! Wenger mbaya sana si umeona hata vyombo vya habari havitakiwi kuandika madhaifu ya benchi la ufundi. Wenger ni muoga sanaNi kitu kibaya sana watu wachezaji wanapotaka kujadili mwenendo wa kocha wao wanalificha jina lake ili ionekane anaongelewa mornho kisa wana hofu ya kufutwa kwenye USO wa clab