Swali fikirishi: Hivi CCM Zanzibar haina Mgombea wa kumshinda Maalim Seif 2020?

Swali fikirishi: Hivi CCM Zanzibar haina Mgombea wa kumshinda Maalim Seif 2020?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ningali najiuliza Maalim Seif ni nani huko Zanzibar hadi atungiwe sheria eti asigombee Uchaguzi Mkuu?

Nijuavyo Zanzibar ina wanasiasa mahiri wanaofaa kwa nafasi ya urais kupitia CCM ambao watamgalagaza Maalim Seif mapema asubuhi.

Labda kama CCM mnataka agombee balozi wajina wa Maalim, hapo kwa kweli ni lazima itungwe sheria kungali mapema.

Ni hayo tu kwa uchache!
 
Ngoja nikuitie Jecha ili afafanue. Nikimkosa nitamuita Shein, Karume ama Komandoo.....wote hawa wanayo majibu.
 
Tumemaliza kikao cha maandalizi mpaka sasa Hussein Mwinyi ndio jina linalotajwa tajwa sana. Kikao kijacho tutaleta jina lingine.
 
Mkuu elewa kwamba Maalim seif lazima awekewe vikwazo mwaka huu 2020!kwasababu mgombea uraisi ccm ni mwanamke yaani Samia Suluhu sasa ni matusi makubwa eti Nguli wa siasa Ashindwe kwenye uchaguzi na mwanamke!!!Hiyo ni ajabu hata wazanzibari hawatokubali kuwekewa mwanamke Kuwa raisi wao!!!!!!Pia KUIUA ACT ZANZIBAR NA KUIMARISHA CUF MAMLUKI YA LIPUMBA!!!
 
Tangu lini ccm wakawa Na mgombea? Wao wanachotegemea Ni kubebwa Na tume pamoja Na polis
 
johnthebaptist,
Tatizo sio mgembea kwa CCM, Sera za CCM au ilani ya CCM Zanzibar sio matakwa ya wazanzibari, Bali ni matakwa ya Watanganyika.
 
johnthebaptist, I think the guy always win, and he is a kind of a very good heart for people like you to disvalue.

He is the only choice who win and the defeated one declared and awarded as a winners.

But I belive in one of the sahil proverb "muosha huoshwa"

So, Your asprin time is always there around you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa aina yako ndio wanaohubiri "TUNA TUME HURU" in capitals
Bloodful asshole!
Let the people arise and take what is theirs

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! We have a FREE AND FAIR NEC....
any more question buddy!!
...You deserve to be pushed back to you mom's womb through the same damn route...you are a waste of space...
 
Back
Top Bottom