johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
JPM atosha.Kwani hata huku Bara CCM ina mgombea gani wa kushinda uraisi katika uchaguzi ulio huru na wa haki?!
Mada inahusu Zanzibar bwashee!Kwani hata huku Bara CCM ina mgombea gani wa kushinda uraisi katika uchaguzi ulio huru na wa haki?!
Kama unasema kweli hiv!Tumemaliza kikao cha maandalizi mpaka sasa Hussein Mwinyi ndio jina linalotajwa tajwa sana. Kikao kijacho tutaleta jina lingine.
Tulitaka mtu wa kuinyoosha Tanzania na Jiwe ndiye alikuwa chaguo sahihi na pekee. Swali jingine tafadhali!CCM yote kweli mliona Jiwe ndiye anafaa?
Waongezee sauti kidogoTatizo sio mgembea kwa ccm, Sera za ccm au ilani ya ccm Zanzibar sio matakwa ya wazanzibari, Bali ni matakwa ya watanganyika
Watu wa aina yako ndio wanaohubiri "TUNA TUME HURU" in capitalsWapo kibao tu ila kama wanajifanya majangili unawapiga ban hata ya kugombea.
Yes! We have a FREE AND FAIR NEC....Watu wa aina yako ndio wanaohubiri "TUNA TUME HURU" in capitals
Bloodful asshole!
Let the people arise and take what is theirs
Sent using Jamii Forums mobile app