Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

WhoWeBe

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
2,299
Reaction score
4,282
Hili linanishangaza sana!

Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine.

Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma.

Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho yakiwa yamemtoka, akijimwambafai kwa kuiponda vibaya mikoa ya kusini.

Hali hii ni tofauti kwa kiasi kikubwa tu na watu wa dar. Tatizo ni nini?
 
Achana nao hao mbona kila siku mabasi kutoka mbezi kuja mikoani yanajaa!!!??

Masikini hupenda kutafuta faraja kwa walionacho. . .

sasa alienacho ndo anacho utajua wewe wa mkoani au wa Daaaaar!!!😂😂😂😂😂😂
 
Wajinga kila sehemu hawakosekani, ukiwa na pesa kila sehemu ni kama ulaya tu
 
Mimi naona kanda ya ziwa ndio wanaponda Arusha
Haohao kanda ya ziwa tena wanaponda dodoma
Wanapenda kujipima kuwe uzi wao wa CBD
 
Vimikoa vyote vinafanana tu .Ila DAR habari nyingine.
 
Back
Top Bottom