SWALI FIKIRISHI: Je, Magufuli ameondoka na Corona? Hatusikii tena kelele zake

Hujui adui huwa anashikashika lile pele linalojitokeza! Sasa mwenye Pele lake kaenda nalo sahivi vimebaki vipele! Hata kwa huyu patapatikana tu pakushika..🤣
 
Sikuizi hadi serikalini kuna KIKI kama za kina rayvany na harmo
 
Hukumsikia kamanda wa anga akivyowaongopea wapuuzi kuwa eti kachanjwa astrazaneka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…