CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Ndege za Emirates hazipakii Abiria bila cheti cha chanjo.Hukumsikia kamanda wa anga akivyowaongopea wapuuzi kuwa eti kachanjwa astrazaneka?
Mwamba asingerudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege za Emirates hazipakii Abiria bila cheti cha chanjo.Hukumsikia kamanda wa anga akivyowaongopea wapuuzi kuwa eti kachanjwa astrazaneka?
√Ile ilikuwa ni mchezo na target ilikuwa jamaa so baada ya kumaliza mchezo tamthilia yetu ikaishia pale pale. ndio maana jamaa walikuwa na uhakika kabisa kwamba jamaa kavuta hadi wanahoji anayeongoza nchi ni nani ?
Mkuu kabla corona haijakuwako kifo kingalipo.Walisema kama wewe...leo wapo kwa aliyewaumba..
Na kutokana na ujinga wao ipo siku watazidisha ujinga utatuathiri hata sisi tusowajinga na taifaSijawahi kuona kiumbe kijinga kama wafuasi wa chadema.
Mbowe apata chanjo ya corona
Kama ilivyokawa kwa mwana wa mtuRais kajitoa sadaka kwa ajiri ya Watanzania
Mkuu hivi yule samaki kule tumboni hakukuwa na mmeng'enyo?
Mungu ni wa ajabu sana !Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania.
Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
Mwaka huu colona tutaishinda tena kama tulivyoishinda mwaka jana, nasema uongo ndugu zangu?Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania.
Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
Mbona Kigwangwala ameizungumza sana na akashauri fusho zibomolewe pale Muhimbili, au unazungumzia wapinzani wa chama cha siasa?Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania.
Mbona mimi kila nilipokuwa naandika mada ya kuhoji hili ilikuwa inafutwa, sijui maana yake nini hii..Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania.
Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
Hatujabisha hilo, tunachojoji ni kupotea kwa kelele za Corona baada ya kifo cha Rais. Huwa unaelewa kabla ya kujibu?Shehe wa Mkoa Singida Corona, inakula Wazee na wenye magonjwa sugu.
Mbona zipo tukelele za Corona
ebu naomba verse number ya habari za yonaYona alipotoswa majini Bahari ikatulia
Naona hata vifo vya viongozi na raia pia kama vimekoma hivi [emoji848][emoji848][emoji848]
ebu naomba verse number ya habari za yona