King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ulikuwa jela? Kila siku watu wanapiga makelele humu kwamba mama alete chanjo ,kila siku watu wanapiga makelele kwanini Mama havai Barakoa! Korona inaenda na wave, wave la pili limemuondoa JIWE na mapadri 33+ ,tusubiri wave ya tatu.Toka Magufuli afariki, wapinzani nao wamenyamaza kupiga kelele za uwepo wa corona - Tanzania.
Najiuliza je Magufuli ameondoka na corona yake?
Hatujabisha hilo, tunachojoji ni kupotea kwa kelele za Corona baada ya kifo cha Rais. Huwa unaelewa kabla ya kujibu?
asanteSUV
Yon UTANGULIZI | SUV Bibilia | YouVersion
Yon 2 | SUV Bibilia | YouVersion
YON 1
1 Basi neno la BWANA lilimjia Yona, mwana wa Amitai, kusema,
2Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
3Lakini Yona akaondoka akimbilie Tarshishi, apate kujiepusha na uso wa BWANA; akatelemka hata Yafa, akaona merikebu inayokwenda Tarshishi; basi, akatoa nauli, akapanda merikebuni, aende pamoja nao Tarshishi, ajiepushe na uso wa BWANA.
4Lakini BWANA alituma upepo mkuu baharini, ikawa tufani kubwa baharini, hata merikebu ikawa karibu na kuvunjika.
5Basi wale mabaharia wakaogopa, kila mtu akamwomba mungu wake; nao wakatupa baharini shehena iliyokuwa merikebuni, ili kuupunguza uzito wake. Lakini Yona alikuwa ameshuka hata pande za ndani za merikebu; akajilaza, akapata usingizi.
6Basi nahodha akamwendea, akamwambia, Una nini, Ewe ulalaye usingizi? Amka, ukamwombe Mungu wako; labda Mungu huyo atatukumbuka, tusipotee.
7Wakasemezana kila mtu na mwenzake, Haya, na mpige kura, mpate kujua mabaya haya yametupata kwa sababu ya nani. Basi wakapiga kura, nayo kura ikamwangukia Yona. 8
Ndipo wakamwambia, Tafadhali utuambie, wewe ambaye mabaya haya yametupata kwa sababu yako; kazi yako ni kazi gani? Nawe umetoka wapi? Nchi yako ni nchi ipi? Nawe u mtu wa kabila gani?
9Akawaambia, Mimi ni Mwebrania; nami namcha BWANA, Mungu wa mbingu, aliyeziumba bahari na nchi kavu.
10Ndipo watu wale wakaogopa mno, wakamwambia, Ni jambo gani hili ulilolitenda! Kwa maana watu wale walijua ya kuwa amekimbia, ajiepushe na uso wa BWANA, kwa sababu alikuwa amewajulisha.
11Basi wakamwambia, Tukutende nini, ili bahari itulie? Kwa maana bahari ilikuwa inazidi kuchafuka.
12Naye akawaambia, Nikamateni, mnitupe baharini; basi bahari itatulia; kwa maana najua ya kuwa ni kwa ajili yangu tufani hii imewapata.
13Lakini wale watu wakavuta makasia kwa nguvu, ili wapate kurudi pwani, wasiweze; kwa maana bahari ilizidi kuwachafukia sana.
14Basi wakamlilia BWANA, wakasema, Twakuomba, Ee BWANA, twakuomba, tusiangamie kwa ajili ya uhai wa mtu huyu, wala usitupatilize kwa ajili ya damu isiyo na hatia; kwa maana wewe, BWANA, umefanya kama ulivyopenda.
15Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka.
16Ndipo wale watu wakamwogopa BWANA mno, wakamtolea BWANA sadaka, na kuweka nadhiri.
17BWANA akaweka tayari samaki mkubwa ili ammeze Yona, naye Yona akawa ndani ya tumbo la samaki yule muda wa siku tatu, mchana na usiku.
Kwahiyo tume ndio imepiga marufuku zile Tanzia mlizokuwa mnaleta kila siku?Mama kasema anaunda tume ya wataalamu wabobezi kuhusiana na Corona.
Kelele zipi tena kabla ya mrejesho?
Tulipo tunasubiria kufahamu tume imeshaundwa na imefika wapi.
Kelele za nini hapo?
Kwahiyo tume ndio imepiga marufuku zile Tanzia mlizokuwa mnaleta kila siku?
Stupid thinkingHakuna kitu kinaitwa Corona dunia nzima. Just propaganda tu
Subiri ikukamate ndiyo utaelewa. Sasa susceptible age ni below 40, just waitKama nakuelewa Hivi......
Watu si bado wanaendelea kufa? Au hawafi kwa Corona tena?Kwani Tanzia lengo ni nini? Kupanikishana au kupeana taarifa? Endeleeni kutupa taarifa kama mwanzo; otherwise mlikuwa na agenda ovu juu ya Hayati JPMKelele ulizokuwa unazisikia zilikuwa ni miito kwa serikali ya awamu ya 5 kuchukua hatua.
Serikali iliyopo imekubali kuchukua hatua.
Tunasubiria sasa mrejesho. Kipi huelewi hapo?
Watu si bado wanaendelea kufa? Au hawafi kwa Corona tena?Kwani Tanzia lengo ni nini? Kupanikishana au kupeana taarifa? Endeleeni kutupa taarifa kama mwanzo; otherwise mlikuwa na agenda ovu juu ya Hayati JPM
reposition your fight to the right position.vita vya uchumi.You're either the source or the target
BrainwashedStupid thinking
Kweeliiii???Corona inakuja kama waves na kupotea.
Wapo wenzio waliosema haya maneno leo hatupo naoHakuna kitu kinaitwa Corona dunia nzima. Just propaganda tu
Madaktari dunia nzima wanakiri kuwa wote wanaokufa huwa na maradhi mengine. Corona ni mafua tu yanayopigiwa propaganda kwa sababu zao wanazozijua.Wapo wenzio waliosema haya maneno leo hatupo nao
Huyu mwamba alikua anasema waombolezaji wasirudi makwao, kwani marehemu mwingine atatangazwa.Hata kigogo ataji tena viongozi wenye corona
Maneno hayoooWatu si bado wanaendelea kufa? Au hawafi kwa Corona tena?Kwani Tanzia lengo ni nini? Kupanikishana au kupeana taarifa? Endeleeni kutupa taarifa kama mwanzo; otherwise mlikuwa na agenda ovu juu ya Hayati JPM