Swali fikirishi; Je, Tanzania imedhibitiwa na Zanzibar?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?

Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!

Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari?

Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini wazanzibari hawatekwi na kupotea?

Je, ni kweli Tanzania imethibitiwa na Zanzibar

Kwanini Mwinyi anaiunganisha Zanzibar halafu huku watu hawatatiki mazungumzo na kuweka reform?

Je, after all Nini kitatokea ikiwa tutakuwa chini ya ulinzi wa wazanzibari?

Nauliza tu swali inakuwaje watu million 60 wanatawaliwa na watu million 1?
 
Acheni nogowa wazee iyo miaka 9 ya mzanzibar kuwa Rais wa Jamhuri sio mengi kias icho cha kuwafanya munaweweseke kiasi iko!

Na iyo nafas ya mzanzibar kuwa Rais ni mpka M/Mungu aingilie kati amuwe ugomvi.😃
 
Hapana, Tanzania haijadhibitiwa na Zanzibar.
 
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?

Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!

Je Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari?

Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini wazanzibari hawatekwi na kupotea?

Je ni kweli Tanzania imethibitiwa na Zanzibar

Je after all Nini kitatokea ikiwa tutakuwa chini ya ulinzi wa wazanzibari?

Nauliza tu swali inakuwaje watu million 60 wanatawaliwa na watu million 1?
Hili jambo hata mimi niliwahi kujiuliza kichwani na nikaishia tu kukosa majibu! Kwa nini vitendo vya utekaji, utesaji, mauaji ya wapinzani, nk. Yameshamiri zaidi Tanganyika, na hatusikii yakitokea upande wa pili?

Na kwa nini wazawa wananyanyaswa na wageni? Ni kwamba Watanganyika hawawezi kukipigania wao wenyewe? How come Watanganyika wamekuwa kama Wapalestina?
 
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?

Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!

Je Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari?

Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini wazanzibari hawatekwi na kupotea?

Je ni kweli Tanzania imethibitiwa na Zanzibar

Je after all Nini kitatokea ikiwa tutakuwa chini ya ulinzi wa wazanzibari?

Nauliza tu swali inakuwaje watu million 60 wanatawaliwa na watu million 1?
Na bado, mkiona mmemchagua huyo mwanamke tena hadi 2030, mjue anayekuja ni Hussein Mwinyi.
 
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?

Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!

Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari?

Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini wazanzibari hawatekwi na kupotea?

Je, ni kweli Tanzania imethibitiwa na Zanzibar

Kwanini Mwinyi anaiunganisha Zanzibar halafu huku watu hawatatiki mazungumzo na kuweka reform?

Je, after all Nini kitatokea ikiwa tutakuwa chini ya ulinzi wa wazanzibari?

Nauliza tu swali inakuwaje watu million 60 wanatawaliwa na watu million 1?
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar
 
Watanganyika wamezidi ubwege.
 
Hilo halitakaa litokee
Mkuu kwa nguvu gani ya kuhami uliyokuwa nayo hadi ubishe kirahisi rahisi namna hiyo?

Baba yake ambaye pia alikuwa ni Rais wa Zanzibar, hakufaulishwa na Nyerere kuja kutawala huku?

Je kuna mTanganyika alileta fyokofyoko, au hata tu kutoa ushauri ama wazo la tofauti?

Historia hujirudia, anaweza akapewa kijiti na tusifanye lolote bhana, Mungu vile!
 
Haitakaa itokee labda asubiri 2035
 
Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar?

Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!!

Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari?

Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini wazanzibari hawatekwi na kupotea?

Je, ni kweli Tanzania imethibitiwa na Zanzibar

Kwanini Mwinyi anaiunganisha Zanzibar halafu huku watu hawatatiki mazungumzo na kuweka reform?

Je, after all Nini kitatokea ikiwa tutakuwa chini ya ulinzi wa wazanzibari?

Nauliza tu swali inakuwaje watu million 60 wanatawaliwa na watu million 1?
Ungelitoa ushahidi wenye akili tungechangia. Lakini kwakuwa hukutoa ushahidi watachangia wajinga.
 
Back
Top Bottom