Swali fikirishi: Kiapo au kinga kwa wanasiasa na viongozi wakuu?

Swali fikirishi: Kiapo au kinga kwa wanasiasa na viongozi wakuu?

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Nini maana ya KIAPO?
Nini maana ya KINGA?
Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga.

Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria.

Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
 
Inashangaza kweli mkuu aseeh... haina maana ya kuapa as long as hata ukikiuka kiapo huna cha kuulizwa wala cha kujibu.
 
Back
Top Bottom