Mkuu Saint Ivuga utabiri wako ulitimia kwa kuwa Magufuli aliyefananishwa na Yesu naye akakubali hatimaye tulimzika 27/ 03/ 21.Mtu akikubali kuitwa Mungu Adhabu yake ni kifo.
Na Hili wengi hawajui mkuu, yaan ukipewa ukuu wa MUNGU au nafas ya MUNGU na ukafurahia bila kukemea hadharani na kumrudishia MUNGU utukufu wake. Ndugu zanguni lazima ile kwako mazima... Refer kifo cha Herode!!Mtu akikubali kuitwa Mungu Adhabu yake ni kifo.
Shindwa Pepopunda wewe!!Mnajaza sever kwa takataka
Mzee hii hua inakemewe hadharani then unamrudishia MUNGU utukufu wake na sio kufanya siri. Lazima ile kwako mazima refer kifo cha Herode!!Amekubali wapi?
Magufuli hakuletwa na Mungu. Yule alikuwa mtoto wa shetani kwenye umbo la binadamuWatu bhana..
Huyu ameletwa na Mungu
Hii ni zawadi ya Mungu
Mungu ashuke ampongeze
Mimi nikienda basi nichaguliwe kua malaika mkuu
Huyu ni Yesu
SASA KOSA LIPO WAPI
TUBUNI KWANZA
Duh...!. Hii ndio naisoma leo!. Kusema ukweli humu jf tuna manabii wa ukweli sana humu!.Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli.
Aisee, Naantombe Mushi, zaidi ya nabii mkuu hii. Ilinipita sikuiona hii.Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli.
Sote tunamlaumu Kangi kwa kuongea kitu cha kijinga, lakini ki ulimwengu wa Roho, kila neno litamkwalo linabeba maono yanayokusudiwa.
Sote tunajua na tumesoma katika vitabu vitakatifu, safari ya Yesu hapa duniani. Namna maisha ya Yesu yalivokatizwa kwa mateso makali.
Lakini pia, miongoni mwa wanafunzi wa Yesu kulikuwepo na msaliti (YUDA) ambaye katika umbo la nje ndiye aliyefanikishwa kukamatwa kwa Yesu na kupelekea mateso yale.
Nadhani Kangi aliongea kwa utani, ila kunaweza kuwa kuna ukweli kwamba Magufuli amezungukwa na watu mithili ya YUDA ambao kwa namna moja ama nyingine ndio wafanikishi wa mwisho mchungu wa utawala wake. Sote tumeona, YUDA alivokuwa mtumishi mwema kwa Yesu hapo mwanzo, lakini wema wake ule ule ulijeuka baadae na kuwa usaliti mkubwa kwenye historia ya vitabu vya dini.
Kama ni kitu kingepaswa kumpa Magufuli mawazo ya kufikiri, basi nadhani hili swala la yeye kufananishwa na Yesu itabidi liwe la kwanza kwa yeye kulifikiria kiroho zaidi.
Ukichunguza vizuri kwa makini, watu mithili ya Spika Job Ndugai ambao wanasahau mpaka majukumu yao na kuanza kupiga tarumbeta hadharani kutaka Rais aongezewe muda wa kutawala, inakupa taswira halisi ya wenye mioyo ya kina YUDA ndani ya utawala wa Magufuli
Kwa tafsiri nyingine watu mithili ya Job Ndugai, Kangi Logala,... na wengine mithili yao, ndio wanajeuka YUDA taratibu mda unavozidi kwenda.
Soma Biblia mzee ukisoma kisa cha Herode alivyopigwa na chango toka kwa malaika wa MUNGU utaelewa tu!!Duh...!. Hii ndio naisoma leo!. Kusema ukweli tuna manabii humu!.
P
Huyu mwamba kapotea kabisa jamviniHaya mnaotaka kuingiliwa na mushi kazi kwenu, ...
Yaah tunajaribu.. ila nependa zaidi ku analyze current events na ku predict the future itakuwaje...Duh...!. Hii ndio naisoma leo!. Kusema ukweli tuna manabii humu!.
P
Thanks mkuu... labda kuna mambo mengine watu wanakuwa na uwezo wa kupata signals.. nadhani JF imevunja record kwa kutabiri matukioAisee, Naantombe Mushi, zaidi ya nabii mkuu hii. Ilinipita sikuiona hii.
Nipo mkuu sema ndo hivo.. maisha yanakwenda kasi unajikuta automatically unajisahau kabisaHuyu mwamba kapotea kabisa jamvini
Ova
Amen mkuuJamani
JAMANI WENGINE NYINYI NI MANABI SEMA MKO USWAHILINI HATUWEZI KUWATOFAUTISHA NA SISI HONGERA SANA MDAU MAONO YAKO YALITIMIA POMPEO HATUKO NAE KITAMBO SANA
Herode mbali na zamaniNa Hili wengi hawajui mkuu, yaan ukipewa ukuu wa MUNGU au nafas ya MUNGU na ukafurahia bila kukemea hadharani na kumrudishia MUNGU utukufu wake. Ndugu zanguni lazima ile kwako mazima... Refer kifo cha Herode!!
Ndio maana yang hiyo mkuu, ishu ya Herode nilitoa kama referenceHerode mbali na zamani
Refer kifo cha huyu huyu mzee meko
Bado wanajaza server kwa takataka!! Waendelee kujiita hayo majina waone yatakayowakuta!!Mnajaza sever kwa takataka
Hakuna kupunguza wala kuongeza!! Adhabu ni moja tu!! Mene mene tekeli na perezi!!Mtu akikubali kuitwa Mungu Adhabu yake ni kifo.