Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nakumbuka mwigulu alipoteuliwa kwa mara ya pili aliapishwa uani.Why not .?
Itafika kipindi hata manaibu waziri wataapishwa wakiwa 'dinning room' na Muapishaji huku wakinywa mvinyo mwekundu.!
Sasa wale utawalinganisha na komredi Polepole!Kwanini wale waasi mmewaapisha gereji?
Aisee mmeanza dharau mapema mno.Sasa wale utawalinganisha na komredi Polepole!
Sasa mtu kama Halima Mdee ni mwanasiasa kweli?!Aisee mmeanza dharau mapema mno.
Kwani wametokea Bawacha?Heshima sana wanajamvi,
Leo Rais wa JMT kafanya uteuzi wa wabunge wawili.Mh Polepole na Mh Riziki Said kuwa wabunge wa bunge la JMT.
Kwanza napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza,bila shaka waheshimiwa hawa wabunge wateuli wanaweza pia kuteuliwa katika nafasi za uwaziri kamili au uNaibu Waziri.
Shaka haipo katika uteuzi lahasha,uteuzi wao upo na umezingatia katiba yetu tukufu ambayo Mh Rais wa JMT anazo nafasi kumi za kuteua wabunge.Natamani katiba mpya ambayo ingeondoa hizi nafasi lakini sasa hakuna mjadala kabisa.
Najiuliza Mh Spika Dr John Ndugai atawaapisha waheshimiwa wabunge wateule GARAGE kama alivyowaapisha Wabunge 19 wa viti maalumu.Natumaini Mh Polepole na Mh Riziki watakula kiapo ndani ya bunge la JMT kwa heshima zote za kibunge.
Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu wa kiwango cha SGR.
Ngongo safarini Dodoma kupitia Dar ofisi za Lumumba.
Kwani wametokea Bawacha?
Komredi Polepole ni mtu mkubwa bwashee!Duh kwahiyo mliamua kuwadhalilisha hivyo.
Komredi Polepole ni mtu mkubwa bwashee!
Hakika Upuuzi wa Ndugai na Magufuli Sasa Umefika KileleWawili hao: Pole pole na Lulida leo wameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa nyaraka iliyotoa uteuzi wao, Wabunge hao wateule wataapishwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Taratibu za Bunge.
Je, nao wataapishwa na Spika Job Ndugai palepale walipoapishwa akina Halima Mdee ambao baadaye walifukuzwa uanachama wa CHADEMA?
Afadhali ingekua uani! Mbona kuna watu wanasema pale ni Burugi Bar Resort!?Nakumbuka mwigulu alipoteuliwa kwa mara ya pili aliapishwa uani.
Nani kakuambia ndugai mjanja? Yule jamaa ni dhaifu mno asiyestahili kuitwa spika. Sasa hivi ni subwoofer anayepata maagizo ya mixer ambaye ni bwana yule mhutu.Thubutu...ndugai mjanja sana..pale walifanya usanii tu..hakuna hatua za kisheria dhidi yake..
Sasa wale utawalinganisha na komredi Polepole!
Hiyo Bawacha iko taifa gani?Halima Mdee ni mkubwa kuliko Polepole.Kumbuka Polepole ni Katibu Mwenezi wakati Halima Mdee alikuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa.
Upatikanaji wa kina Mdee na wenzake ulikuwa batili, waliandaliwa na kupatikana kihuni, ndio maana wakaapishwa gereji haraka haraka kuharakisha mambo, huyo Polepole na mwenzake wataapishwa ndani ya bunge na glasi za kunywea maji watawekewa.