Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Habari za leo;
Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine.
Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni MWILI, NAFSI na ROHO.
swali la msingi sasa, Je, Wanyama nao wana ROHO na NAFSI ?
Je, kwanini sehemu zote za machinjio huwa kuna uhuni uliothiri, umalaya, unywaji pombe ulio kithiri na dhambi za aina yote ? Je ni kweli territorial spirits za roho huwa zinaingia kwa hawa binadamu waishio na kufanya kazi maeneo hayo ?
Swali la pili la msingi, Je ni kweli kuna ROHO YA UTAJIRI na ROHO YA UMASIKINI kiimani ? na Kama zipo, Je Nifanye nini kuwa na ROHO YA KITAJIRI na Nifanye nini kuepula ROHO YA KIMASIKINI ?
Nawasilisha.
NB: Najua kuna baadhi ya vilaza wanasoma uzi huu marambili mbili na hawajaelewa nataka nini, Ila waliowengi na ambao wanaelewa watajibu vema tu bila tashtiti yoyote.