Swali fikirishi.
Kabla ya ukoloni wa Berlin Tanzania ama specifically Tanganyika haikuwepo, katika confinement ya mipaka ya sasa. Ni phenomena waliyoitengeneza wao.
Katika kudai Uhuru kulikuwa na haja gani ya kudai Uhuru wa Tanganyika ambayo never existed before?
Kwanini kusingedaiwa Uhuru wa kingdoms kama ilivyokuwa awali. Kwa nini Uhuru ilikandamiza tawala za awali ambazo zilikuwa autonomous. Kwanini tusiseme wapigania Uhuru walitengeneza mpya ya ukoloni dhidi ya hizi tawala.
Hoja yangu imejikitia katika ukweli kwamba umoja wa nchi somehow was forced na hizi tawala zilitishwa na pengine kuharibiwa.
Kwa mtazamo wangu ilibidi kila falme na tawala ikabidhiwe mamlaka yake kama ilivyokuwa kabla ya Uhuru. Nchi nyinyi kiafrika zinapata shida za kikabila kwa sababu ya artificial union zilirithishwa kutoka kwa wakoloni.
Ulaya Ujerumani ni Wajerumani Ufaransa wafaransa with the exception ya nchi kama Balji ambazo katika mipaka utakuwa wafaransa na wajerumani.