REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu fikirishi ndio napata maswali je
1) serikali ibadirishe karenda ya siku za masomo ya shuleni karenda iliyopo haifai kwani Kuna baaadhi ya maeneo wanafunzi wa madarasa ya mitihani wanaingizwa madarasani saa kumi na mbili asubuhi vipindi vinaanza mfululuzo hakuna mapumziko mpaka saa kumi na moja jioni uyu mtoto anasoma tu, kisa darasa la mtihani kwani kipindi wapo madarasa ya chini hao walimu nk hawakujua hawa watoto wanapaswa andaliwa mpaka wasubilie mda wa mitihani waanze kutesa watoto
Watoto wanawapa ubize usio na mipango, maana wakitoka shule hiyo jioni akifika nyumbani anaanza kukopy notes mtoto anadika tu ukifika saa mbili usiku kachoka anasinzia analala asubuhi tena mtoto anawahi shule hivi Kuna kufaurisha hapo au kujitesa kwa kujipa ubize usio na tija
2) mda wa likizo wanafunzi wa madarasa ya mitihani kutofunga shule, swali lipo pale pale je vyombo husika vinavyopanga siku za masomo vinakosea kwanini watoto hawaendi pumzika ikiwa ikiwa karenda ya masomo inaendana na syllabus kwanini shule zinangangania watoto wasiende mapumziko ummy mwalimu alitoa tamko kwanini kaondoka hiyo wizara wazuri wa Sasa asemi jambo jamani hawa watoto wanawaumiza akili hawawasaidii Kuna maisha baada ya shule acheni wapumzike
MY TAKE
Walimu jipangeni vizuri kuweka watoto Kambi sijui kutofunga shule kama ukujipanga mtoto yupo madarasa ya chini ataferi tu njooni na mipango mizuri ya wanafunzi kupenda kujisomea siyo kuja na mipango ya kulazimisha wasome