Tumbaku kilifungwa kwa sababu malowezi Zimbabwe wamerudi kulima tumbaku so cheap tumbaku plus utawala wa jk pinda alidanganywa na wezi wakachukua tenda ya pembejeo, yaani kwa ufupi mchawi ni serikali iliyopita na siyo jpm
Nina hakika madhara hasi aliyoysababisha Jiwe kwa nchi hii, hakuna anayefikia. Anajitahidi kuficha uovu wake kwa kuwashambulia watu wengine.Kwahiyo hivyo viwanda alivyochukua Abood havina sababu ya kutokufa, ila hiki cha tumbaku kilichokufa wakati wa Magufuli ndio kina sababu. Korosho alizoua nazo? Uza ubongo huo.
hoja yako ni kiwanda cha tumbaku au abood?Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja.
Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka.
Baadaye kidogo kiwanda cha jezi mazava nacho kikafungwa. Hivi vyote Rais Magufuli hakuongelea . yeye ka focus kumshambulia Abood kwa viwanda alivonunua vikiwa vimejifia.
Simtetei Abood. Ninachoshangaa hapa ni unafiki wa Rais kutogusia hivi viwanda viwili vilivokufa ndani ya awamu ya utawala wake.
Je Rais Magufuli anachuki binafsi na Abood?
Sisi weusi ni wanafiki sana. Siipendi CCM lakini nasema hivi ukilinganisha wabunge rangi nyeusi na wale wabunge wenye Asili ya Asia , kuna tofauti kiutendaji majimboni. Hawa weusi hujitokeza majimboni kwa nadra kama sio wakati wa kuomba kura. Wabunge asili ya Asia at least hufanya vitu tangible. Atleast.
Upande wangu naamini Abood angeweza kufanya mengi morogoro ,tatizo Rais amekua akimshambulia kila akipita morogoro mbele ya umma.
Nina hakika madhara hasi aliyoysababisha Jiwe kwa nchi hii, hakuna anayefikia. Anajitahidi kuficha uovu wake kwa kuwashambulia watu wengine.
Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja.
Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka.
Baadaye kidogo kiwanda cha jezi mazava nacho kikafungwa. Hivi vyote Rais Magufuli hakuongelea . yeye ka focus kumshambulia Abood kwa viwanda alivonunua vikiwa vimejifia.
Simtetei Abood. Ninachoshangaa hapa ni unafiki wa Rais kutogusia hivi viwanda viwili vilivokufa ndani ya awamu ya utawala wake.
Je Rais Magufuli anachuki binafsi na Abood?
Sisi weusi ni wanafiki sana. Siipendi CCM lakini nasema hivi ukilinganisha wabunge rangi nyeusi na wale wabunge wenye Asili ya Asia , kuna tofauti kiutendaji majimboni. Hawa weusi hujitokeza majimboni kwa nadra kama sio wakati wa kuomba kura. Wabunge asili ya Asia at least hufanya vitu tangible. Atleast.
Upande wangu naamini Abood angeweza kufanya mengi morogoro ,tatizo Rais amekua akimshambulia kila akipita morogoro mbele ya umma.
Mnatafuta hata sababu za kijinga kuhalalisha uvivu wenu wa kufikiri na kutenda.Tumbaku kilifungwa kwa sababu malowezi Zimbabwe wamerudi kulima tumbaku so cheap tumbaku plus utawala wa jk pinda alidanganywa na wezi wakachukua tenda ya pembejeo, yaani kwa ufupi mchawi ni serikali iliyopita na siyo jpm
Huyu kaenda kuchungulia fursa ya Marijuana Malawi na sio tumbaku ameona inalipa zaidiWazawa tukilalamika kodi za TRA na mazingira duni ya uwekezaji watu wanabeza.
Sasa mwekezaji wa nje huyoo na fedha zake Malawi.
Yeyote anayemtetea Manji kama tajiri au muwekezaji huwa napata tabu sana kumuelewa. Aidha hamfahamu Manji au ana maslahi binafsi. Nchi haiwezi kuwa na watu waliopata utajiri kwa njia za Manji halafu ikamuenzi na kumsapoti ni Upumbavu uliopitilizaNakumbuka sana namna alivyo mnyanyasa Yusuf Manji kupitia mtoto wake Bashite.
Kwa hiyo ni huyo Manji pekee ndiye aliye pata huo utajiri njia tofauti na wengine! Wale walio kimbia na hela kwenye mifuko ya sandarusi vipi! Walio uza nyumba za serikali kwa bei ya hasara nao vipi!!Yeyote anayemtetea Manji kama tajiri au muwekezaji huwa napata tabu sana kumuelewa. Aidha hamfahamu Manji au ana maslahi binafsi. Nchi haiwezi kuwa na watu waliopata utajiri kwa njia za Manji halafu ikamuenzi na kumsapoti ni Upumbavu uliopitiliza
Kama Mazava na Tumbaku vimefungwa basi Morogoro kilio tupu.Mmiliki wa kiwanda cha tumbaku amekimbilia Malawi kuendesha biashara hiyo. Bongo haieleweki.
Nakumbuka sana namna alivyo mnyanyasa Yusuf Manji kupitia mtoto wake Bashite.
Mafisadi wote/ Wahujumu uchumi/ Majangili wote na Wapigaji wote ndani ya Nchi hii wapo/wanalindwa/ni wananchama wa CCM. Fanya utafiti mdogo tu utaona. Na ndiyo maana mimi kutoka moyoni siipendi hiyo CCMManji hakuwa muwekezaji alikuwa mwizi tu aliyetumia mgongo wa waswahili kufadhili YANGA kama kinga dhidi ya maovu yake!!! Hela yote mnayosema aliwekeza alichota NSSF hela za wafanyakazi kwa kumuhonga Ramadhan DAU; na mikopo ile ya mabilioni ya shillings mpaka hii leo haijalipwa!!! Manji kahama nchini [ kasepa] na DAU anakula bata huyo Malaysia huku wafanyakazi wanasotea NSSF yao kutwa kucha bila mafanikio!!! WHERE IS JUSTICE?