Swali fikirishi. Kwanini Rais Magufuli hakugusia viwanda cha tumbaku na cha Hezi Mazava vilivyofungwa kwenye utawala wake?

Tumbaku kilifungwa kwa sababu malowezi Zimbabwe wamerudi kulima tumbaku so cheap tumbaku plus utawala wa jk pinda alidanganywa na wezi wakachukua tenda ya pembejeo, yaani kwa ufupi mchawi ni serikali iliyopita na siyo jpm

Kwahiyo hivyo viwanda alivyochukua Abood havina sababu ya kutokufa, ila hiki cha tumbaku kilichokufa wakati wa Magufuli ndio kina sababu. Korosho alizoua nazo? Uza ubongo huo.
 
Nina hakika madhara hasi aliyoysababisha Jiwe kwa nchi hii, hakuna anayefikia. Anajitahidi kuficha uovu wake kwa kuwashambulia watu wengine.
 
Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja.

Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka.

Baadaye kidogo kiwanda cha jezi mazava nacho kikafungwa. Hivi vyote Rais Magufuli hakuongelea . yeye ka focus kumshambulia Abood kwa viwanda alivonunua vikiwa vimejifia.

Simtetei Abood. Ninachoshangaa hapa ni unafiki wa Rais kutogusia hivi viwanda viwili vilivokufa ndani ya awamu ya utawala wake.
Je Rais Magufuli anachuki binafsi na Abood?

Sisi weusi ni wanafiki sana. Siipendi CCM lakini nasema hivi ukilinganisha wabunge rangi nyeusi na wale wabunge wenye Asili ya Asia , kuna tofauti kiutendaji majimboni. Hawa weusi hujitokeza majimboni kwa nadra kama sio wakati wa kuomba kura. Wabunge asili ya Asia at least hufanya vitu tangible. Atleast.

Upande wangu naamini Abood angeweza kufanya mengi morogoro ,tatizo Rais amekua akimshambulia kila akipita morogoro mbele ya umma.
hoja yako ni kiwanda cha tumbaku au abood?
 
Nina hakika madhara hasi aliyoysababisha Jiwe kwa nchi hii, hakuna anayefikia. Anajitahidi kuficha uovu wake kwa kuwashambulia watu wengine.

Kabisa, na wapambe wake wameshaona huo uharibifu, hivyo wanalazimisha aongezewe muda wa kukaa madarakani ili ukweli usifahamike.
 
Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja.

Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka.

Baadaye kidogo kiwanda cha jezi mazava nacho kikafungwa. Hivi vyote Rais Magufuli hakuongelea . yeye ka focus kumshambulia Abood kwa viwanda alivonunua vikiwa vimejifia.

Simtetei Abood. Ninachoshangaa hapa ni unafiki wa Rais kutogusia hivi viwanda viwili vilivokufa ndani ya awamu ya utawala wake.
Je Rais Magufuli anachuki binafsi na Abood?

Sisi weusi ni wanafiki sana. Siipendi CCM lakini nasema hivi ukilinganisha wabunge rangi nyeusi na wale wabunge wenye Asili ya Asia , kuna tofauti kiutendaji majimboni. Hawa weusi hujitokeza majimboni kwa nadra kama sio wakati wa kuomba kura. Wabunge asili ya Asia at least hufanya vitu tangible. Atleast.

Upande wangu naamini Abood angeweza kufanya mengi morogoro ,tatizo Rais amekua akimshambulia kila akipita morogoro mbele ya umma.

Kazi sana. Biashara zinafungwa na bado kuna watu wanasema zinafungiliwa kila siku tena nyingi.
Hakuna kitu vibaya kwa mwanadamu kama kujidanganya mwenyewe na nafsi yake
 
Tumbaku kilifungwa kwa sababu malowezi Zimbabwe wamerudi kulima tumbaku so cheap tumbaku plus utawala wa jk pinda alidanganywa na wezi wakachukua tenda ya pembejeo, yaani kwa ufupi mchawi ni serikali iliyopita na siyo jpm
Mnatafuta hata sababu za kijinga kuhalalisha uvivu wenu wa kufikiri na kutenda.
 
Nakumbuka sana namna alivyo mnyanyasa Yusuf Manji kupitia mtoto wake Bashite.
Yeyote anayemtetea Manji kama tajiri au muwekezaji huwa napata tabu sana kumuelewa. Aidha hamfahamu Manji au ana maslahi binafsi. Nchi haiwezi kuwa na watu waliopata utajiri kwa njia za Manji halafu ikamuenzi na kumsapoti ni Upumbavu uliopitiliza
 
Kwa hiyo ni huyo Manji pekee ndiye aliye pata huo utajiri njia tofauti na wengine! Wale walio kimbia na hela kwenye mifuko ya sandarusi vipi! Walio uza nyumba za serikali kwa bei ya hasara nao vipi!!

Wale mchwa wote walio jificha kwenye kichaka kinachoitwa CCM, hawa ni safi tu! Isipokuwa Yusuph Manji!! Pole sana.
 
Nakumbuka sana namna alivyo mnyanyasa Yusuf Manji kupitia mtoto wake Bashite.

Manji hakuwa muwekezaji alikuwa mwizi tu aliyetumia mgongo wa waswahili kufadhili YANGA kama kinga dhidi ya maovu yake!!! Hela yote mnayosema aliwekeza alichota NSSF hela za wafanyakazi kwa kumuhonga Ramadhan DAU; na mikopo ile ya mabilioni ya shillings mpaka hii leo haijalipwa!!! Manji kahama nchini [ kasepa] na DAU anakula bata huko Malaysia huku wafanyakazi wanasotea NSSF yao kutwa kucha bila mafanikio!!! WHERE IS JUSTICE?
 
Manji hakuwa muwekezaji alikuwa mwizi tu aliyetumia mgongo wa waswahili kufadhili YANGA kama kinga dhidi ya maovu yake!!! Hela yote mnayosema aliwekeza alichota NSSF hela za wafanyakazi kwa kumuhonga Ramadhan DAU; na mikopo ile ya mabilioni ya shillings mpaka hii leo haijalipwa!!! Manji kahama nchini [ kasepa] na DAU anakula bata huyo Malaysia huku wafanyakazi wanasotea NSSF yao kutwa kucha bila mafanikio!!! WHERE IS JUSTICE?
Mafisadi wote/ Wahujumu uchumi/ Majangili wote na Wapigaji wote ndani ya Nchi hii wapo/wanalindwa/ni wananchama wa CCM. Fanya utafiti mdogo tu utaona. Na ndiyo maana mimi kutoka moyoni siipendi hiyo CCM

Hivyo huyo Yusuph Manji ni tone tu la maji ndani ya bahari.
 
Hivi kwanini kiwanda cha tumbaku Morogoro kulifungwa? Hatuoni kama tumepoteza mapato?
 
Hawa wawekezaji watafungua tena hivi viwanda ambavyo vilifungwa kwa sababu ya kodi zisizoweza kulipika? Kama jkodi zililimbikizwa bila kudaiwa, nani alisababisha tatizo hilo na amewajibika vipi?
Tusiwaonee wawekezaji tu. Kuna watu wanalipwa kukusanya kodi. wakikaa muda mrefu nao si vibaya wakaulizwa
 
Back
Top Bottom