Swali fikirishi: Nikwanini CCM hawakuunga mkono maandamano ya kupinga utekaji na mauaji ya raia?

Yale maandamano baba ndubwi aliyapa jina la Şamia Muşt go…. And that was his political miscalculation…. Maana yeye kama yeye hana moral authority ya kuchallenge mh rais

Angekomaa na mengine angetoboa

I think he was misguided

Shule ya gachagua should be taught in every classroom ya namna ya mamlaka zinavyolindwa
Tuambie ccm mnaandamana lini kupinga utekajaji?
 
Yale maandamano baba ndubwi aliyapa jina la Şamia Muşt go…. And that was his political miscalculation…. Maana yeye kama yeye hana moral authority ya kuchallenge mh rais

Angekomaa na mengine angetoboa

I think he was misguided

Shule ya gachagua should be taught in every classroom ya namna ya mamlaka zinavyolindwa
One mistake One goal !
 
Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali.
  • Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia,
  • Lakini yalipoitishwa maandamano ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji ya raia yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA, CCM walionekana si tu kuttotoa ushirikiano Bali pia kuyapinga na kukebehi baada ya kamatakamata ya polisi.

Je CCM waliona haiwahusi kwavile wengi wa waliotekwa ni wapinzani na wasio na vyama ?

Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Hilo nalo neno 🙄 !
 
Yale haramu ya kukurupuka ya samia must go, right?🐒

halafu mtangazaji na muhamasishaji mkuu wa yale maandamano bilashaka alikua katumia kilevi fulani kilichomchochea kutangaza..

haikua bure ile,
so , ilikua ni mtihani kufuata maagizo ya mlevi ama la. Na matokeo yake wenye hakima na busara wakampuuza 🐒
Mbona wewe ulishiriki kinaa na ukakamatwa.
 
unaitisha maandamno kwa kuchochewa na kilevi wanachama wako wote wanakusaliti hakuna hata moja anaejitokeza kuandamana, halafu unabaki mwenyewe na unakamatwa polisi pekeyao 🤣

hili ni gundu au mkosi gentleman?
 
Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali.
  • Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia,
  • Lakini yalipoitishwa maandamano ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji ya raia yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA, CCM walionekana si tu kuttotoa ushirikiano Bali pia kuyapinga na kukebehi baada ya kamatakamata ya polisi.

Je CCM waliona haiwahusi kwavile wengi wa waliotekwa ni wapinzani na wasio na vyama ?

Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Swali fikirishi kama chama dola, (CCM), kinashindwa kudhibiti watu wasiojulikana, je vyama vya upinzani vinaweza kudhibiti wasiojukikana?,
Yaani kikosi cha utekaji kinaweza kulisimamisha bus na kujitambukisha wao ni akina nani na wanakusudia kufanya nini na wakatekeleza hivyo

Kesho yake aliyetwaliwa anatupwa akiwa amekufa baada ya kipigo na kumwagiwa tindikali na maisha yakaenda kama kwaida, (business as usual as if nothing happened)
 
Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali.
  • Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia,
  • Lakini yalipoitishwa maandamano ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji ya raia yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA, CCM walionekana si tu kuttotoa ushirikiano Bali pia kuyapinga na kukebehi baada ya kamatakamata ya polisi.

Je CCM waliona haiwahusi kwavile wengi wa waliotekwa ni wapinzani na wasio na vyama ?

Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Kagoshima heshima yako, swali ni zuri lakini nataka tufikirie pia kwenye maandamano watu wa mbele kabisa nadhani wangekuwa familia ya watu waliyotekwa kwani wao ndiyo wenye uchungu zaidi kuliko mtu yoyote mwingine kwa kupotelewa na wapendwa wao. Swala likiingia katika upinzani wa kisiasa basi linapoteza nguvu kwa wananchi wote kuliunga mkono, lakini kama familia za waliyotekwa wangeandamana nadhani hapo kila mtu angeliunga mkono.
 
Chadema wali miss calculate sana hii issues. Maandamano haya ili yalete tija ilitakiwa yaanzie msibani, Baada ya kuzika tu mnaondoka na ile mob yoteee kwenda barabarani, Wengine waunge kutokea hapo
 
Back
Top Bottom