Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Wewe apo! Yes wewe apo sio mwingine... nina swali moja naomba nikuulize, ambalo ukijibu baadae nitakuambia maana ya hili swali langu.
Kwamfano unatembea mtaani halafu njiani kwa bahati nzuri ukaokota shilingi laki moja (100,000/=) Sasa ukawa una furaha sana unatembea huku unapanga utaitumiaje.
Mbele kidogo ukakutana na mtu (randomly) aliyekuona unaiokota hiyo hela.
Huyo mtu akakuambia kuwa "huu mtaa kuokota hela ni kawaida sana, ukitaka kuokota kubwa zaidi inapaswa hiyo hela uliyoiokota usiitumie/uitumie kidogo sana na iliyobaki ukaitupe chooni kisha urudi huu mtaa utaokota hela kubwa zaidi"
Kwahyo kadri ambapo huitumii hiyo hela ndiyo unavyojiongezea uwezekano wa kuokota kubwa zaidi,
Usipoitumia kabisa utaokota millioni 5.
Ukitumia 10,000 ukatupa 90,000 utaokota milioni 3.
Ukitumia 20,000 utaokota millioni 1
Ukitumia 30,000 utaokota laki 8
Ukitumia 40,000 utaokota laki 6
Ukitumia 50,000 utaokota laki 4
Ukitumia 60,000 utaokota laki 3
Ukitumia 70,000 utaokota laki 2
Ukitumia 80,000 utaokota laki 1
Ukitumia 90,000 utaokota 50,000
Ukiitumia hela yote Haupati chochote, ila utakuja nawewe kupoteza hela zaidi ya uliyookota.
Utafanya nini? Utatumia sh. ngapi?