Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Swali ili ni sawa na kuku na yai nani wa kwanza.
Ukitafuta maana zake:
Fikra ni mchakato wa akili wa kutafakari, kuchambua na kuunganisha mambo.
Wazo ni kitu kinachojitokeza kutokana na mchakato huo—mfano suluhisho au mpango fulani.
Je ni fikra au wazo kati ya hizi