Hahah hakuna mtu mnafiki kama huyu, anazidiwa na yuda eskarioti tuuKatutia aibu
View attachment 1274646
Mawazo yakoKwahiyo unataka kusema alichokifanya Kabudi huko Kenya sio unafiki?
Pia alipowaambia eti Wakenya waache kutukuza Ukabila, kwani Tz hatukuzi ukabila wala hatujuani makabila yetu
Ni kweli Kenya kuna ukabila zaidi ya Tz, lakini Tz pia ukabila unachipua na anayeumwagilia maji ni boss wake
Magufuli kila mara amekuwa akiwalazimisha viongozi majimboni mwao wazungumze kilugha na wananchi, akiwaambia kuzungumza kikabila kutawafanya wananchi wajue kuwa ni "mtu wao", huku sio kutukuza makabila?
Magufuli pia amekuwa akitamka sana na kufanya utani wa kikabila (ambao mara nyingi unakera) utasikia akiwaambia nyie Wafipa wachawi, Wagogo wavivu, Wachaga wanapenda hela, Wasukuma sisi hatuna mchezo n.k, huku sio kupalilia ukabila?
Kuna Tanzania mbili tofaut ndugu yangu kuna Tanzania ya mitandaon na Tanzania kama nchii yamitandaoni sio tunayoyaishi uraiani uku mitandaoni unaweza sema Tanzania kesho hawaamki salama ila ukakuta watu wanadunda tuu kama kawaidaNimeisikiliza hotuba ya Profesa Kabudi wa kutokea Tanzania, kwa kweli ametiririka maneno yenye hekima na kutuasa Wakenya tuwe kimoja, pia akamsifia sana Rais wetu Uhuru kwa kukubali kujishusha na kuweka uzalendo mbele na kukaa meza moja na wapinzani kwa minajili ya vipaumbele vya taifa.
Nikawa najiuliza mengi, maana taarifa tunazozisoma kuhusu Tanzania zinakinzana na huu ushauri wa Professa kwa asilimia 100%, kule watu wamegawanyika kwa misingi ya vyama, yaani juzi tu chama kinachotawala kimeibuka na ushindi wa asilimia 99% baada ya upinzani kutunishiwa misuli hadi wakajiondoa.
Tumekuwa tukiona matamko na mikwara ya waliopo kwenye dola wakiweka wazi bila kuremba kwamba maeneo ya upinzani yanakosa maendeleo kama adhabu ya maamuzi yao mabaya.
Mifano ni mingi tu ambayo tunaisoma inayodhihrisha demokrasia ilivyofukiwa kwa Wabongo, sasa professa, hivi alikua anatuma ujumbe kwao nyumbani kinyemela au alikua na maana gani.
Pia juzi tuliona Spika wa Tanzania alitutembelea hapa Kenya na kusifia sana mfumo wetu wa kurusha shughuli za bunge mubashara, licha ya yeye kule kwao kubana hayo hayo aliyokuwa anasifia, sielewi mbona wakija huku wanasifia mambo ambayo wenyewe kwao wanayakandamiza na kuyadidimiza.
Kaandika eti watanzania wamegawanyika 😂😂😂 angejua huku mitaani watanzania walivyo busy na maisha yao wala asingeandika huu upumbavu wake hapa,Kuna Tanzania mbili tofaut ndugu yangu kuna Tanzania ya mitandaon na Tanzania kama nchii yamitandaoni sio tunayoyaishi uraiani uku mitandaoni unaweza sema Tanzania kesho hawaamki salama ila ukakuta watu wanadunda tuu kama kawaida
Kuna Tanzania mbili tofaut ndugu yangu kuna Tanzania ya mitandaon na Tanzania kama nchii yamitandaoni sio tunayoyaishi uraiani uku mitandaoni unaweza sema Tanzania kesho hawaamki salama ila ukakuta watu wanadunda tuu kama kawaida
Unazidi kuchanganyikiwa, which is good
Baki hapo na ukada, sina hata kadi ya chama. Genuinely mzalendo tu.Kada la ccm hili![emoji849]
Hahaaa mualovera huo. Mengine watuachieChukueni ushauri kama unawafaa mengine tuachieni.
Kabudi ni mzushi na tapeli.Nimeisikiliza hotuba ya Profesa Kabudi wa kutokea Tanzania, kwa kweli ametiririka maneno yenye hekima na kutuasa Wakenya tuwe kimoja, pia akamsifia sana Rais wetu Uhuru kwa kukubali kujishusha na kuweka uzalendo mbele na kukaa meza moja na wapinzani kwa minajili ya vipaumbele vya taifa.
Nikawa najiuliza mengi, maana taarifa tunazozisoma kuhusu Tanzania zinakinzana na huu ushauri wa Professa kwa asilimia 100%, kule watu wamegawanyika kwa misingi ya vyama, yaani juzi tu chama kinachotawala kimeibuka na ushindi wa asilimia 99% baada ya upinzani kutunishiwa misuli hadi wakajiondoa.
Tumekuwa tukiona matamko na mikwara ya waliopo kwenye dola wakiweka wazi bila kuremba kwamba maeneo ya upinzani yanakosa maendeleo kama adhabu ya maamuzi yao mabaya.
Mifano ni mingi tu ambayo tunaisoma inayodhihrisha demokrasia ilivyofukiwa kwa Wabongo, sasa professa, hivi alikua anatuma ujumbe kwao nyumbani kinyemela au alikua na maana gani.
Pia juzi tuliona Spika wa Tanzania alitutembelea hapa Kenya na kusifia sana mfumo wetu wa kurusha shughuli za bunge mubashara, licha ya yeye kule kwao kubana hayo hayo aliyokuwa anasifia, sielewi mbona wakija huku wanasifia mambo ambayo wenyewe kwao wanayakandamiza na kuyadidimiza.
November 28, 2019
Nairobi , Kenya
Tundu Lissu atema cheche ktk mahojiano maalum jijini Nairobi Kenya
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida Mashariki nchini Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Mh. Tundu Lissu akielezea kinaga ubaga hali halisi ya kisiasa nchini Tanzania ambapo siasa za vyama vingi, mikutano ya wazi na ndani vyote vimepigwa marufuku na serikali ya awamu ya 5 ya CCM
Source: KTN News Kenya