Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".

Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi....

Mara paap!

Wanung'unikaji wameanza tena, wenye kununa wameanza kukereka...hakuna jema mama anaweza kufanya...mama..hafuati njia wanayotaka aifuate... na gwanda la jeshi likawatifua (ntaligusa hili baadaye inshallah).

Kama alivyouliza jamaa mmoja...furaha Imeenda wapi? Kicheko kimepotelea wapi...

#mwachenimama
#mamasalama
#salamasamia
#tanzaniayasamia
Hao wanaolalamika ni kina nani? na wanalalamikia nini?
 
Ukitaka kuongoza kwa haki kwenye ulimwengu wa leo lazima utangulie kuifuata haki yako......
 
Huyu Mzee mwanakijiji ni chawa wa Magufuli na kada wa CCM. Ameshindwa kujua asimamie wapi, amebakia kutupia vijembe. Njaa tupu kwa sasa. Hana tena mada zenye mantiki tangu August, 2015 Dr Slaa alipohamia CCM kinyemela. Kwa sasa Dr. Slaa yuko benchi (anakula msoto kiaina) na Mzee mwanakijiji anakuja hapa na vijembe dhidi ya Samia!

Mama Samia hafai kwa kuwa ameshindwa kusimamia haki, demokrasia na maendeleo, anajaribu kuiga ujinga na Ukatili wa marehemu jiwe.

Kwa mujibu wa Lissu, Samia ni Magufuli wa kike!
 
Una uhakika kuwa walioshangilia na walionung'unika ni watu walewale?
 
Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".

Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi....

Mara paap!

Wanung'unikaji wameanza tena, wenye kununa wameanza kukereka...hakuna jema mama anaweza kufanya...mama..hafuati njia wanayotaka aifuate... na gwanda la jeshi likawatifua (ntaligusa hili baadaye inshallah).

Kama alivyouliza jamaa mmoja...furaha Imeenda wapi? Kicheko kimepotelea wapi...

#mwachenimama
#mamasalama
#salamasamia
#tanzaniayasamia

Furaha ni uchaguzi binafsi. Mama aendelee kukomaa kuongoza nchi. Waliotaka bongo tambalale irudi ndio wanaleta shida. Tena wengine wako nje au hata ndani ya baadhi za taasisi. Wanapanga mipango kwa hila kabisa,kurudisha tena bongo tambarale
 
Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".

Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi....

Mara paap!

Wanung'unikaji wameanza tena, wenye kununa wameanza kukereka...hakuna jema mama anaweza kufanya...mama..hafuati njia wanayotaka aifuate... na gwanda la jeshi likawatifua (ntaligusa hili baadaye inshallah).

Kama alivyouliza jamaa mmoja...furaha Imeenda wapi? Kicheko kimepotelea wapi...

#mwachenimama
#mamasalama
#salamasamia
#tanzaniayasamia
Duuh! Hapo ndiyo umetoa yote yaliyokuwa katika ubongo wako!

Ama kweli umechoka!
 
Mama anaupiga mwingi !!
Wametekewa, kila wakigeuka hivi mama anatikisa nyavu. Subiri tu, soon wataanza kumchezea 'Uruguay' (wale wapenda soka wa zamani wataelewa)
 
Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".

Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi....

Mara paap!

Wanung'unikaji wameanza tena, wenye kununa wameanza kukereka...hakuna jema mama anaweza kufanya...mama..hafuati njia wanayotaka aifuate... na gwanda la jeshi likawatifua (ntaligusa hili baadaye inshallah).

Kama alivyouliza jamaa mmoja...furaha Imeenda wapi? Kicheko kimepotelea wapi...

#mwachenimama
#mamasalama
#salamasamia
#tanzaniayasamia
Duh...!.
P
 
Unashindwa kutaja 'a common denominator' - CCM. Sasa sijui unataka mpaka nifafanue ndipo uelewe?

Kwani umelenga nani hasa "waliochekelea", na ? "wapi walionuna"

Kwani unawalenga waTanzania kwa ujumla wao ndio waliogawanyika katika makundi hayo uliyoyaelezea hapo?

WaTanzania hawaoni tofauti ya CCM ya Magufuli na hii CCM ya Samia. Wote wamekuwa ni mzigo mkubwa kwa wananchi.

Lakini hii mada yako kidogo, hasa hapo mwishoni inanikumbusha yule binti Mange na zile 'T-shirt' za "Diaspora For Samia" wakati wa ziara ya kuhutubia UNGA!
Ulikuwepo kwenye lile kundi?
 
Watanzania wengi sana wana addiction na mediocrity bila kujua kuwa ina gharama zake. Hawataki kupingana na mediocrity, na vile vile hawataki gharama za mediocrity, kwa hiyo wako njia panda siku zote.
 
Ubora wa Magufuli unasababisha mapungufu ya Mama Samia yaonekane wazi zaidi.

Watanzania wengi bado wanaishi kwenye kivuli cha Magufuli...
Hali hii imemchanganya sana huyu mama. Alitaka ajiondoe kwenye kivuli cha Magufuli harakaharaka, lakini anashangaa kuona jinsi ilivyo ngumu kufanya hivyo.
Sasa anaelea tu hapo kkatikati asijue lipi la kufanya ili ajinasue na kuanza safari yake mwenyewe.
 
Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".

Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi....

Mara paap!

Wanung'unikaji wameanza tena, wenye kununa wameanza kukereka...hakuna jema mama anaweza kufanya...mama..hafuati njia wanayotaka aifuate... na gwanda la jeshi likawatifua (ntaligusa hili baadaye inshallah).

Kama alivyouliza jamaa mmoja...furaha Imeenda wapi? Kicheko kimepotelea wapi...

#mwachenimama
#mamasalama
#salamasamia
#tanzaniayasamia
17.3.2021 bwana alitenda maajabu yake kuliondosha lile dubwasha hakika nilifurahi sana
 
Back
Top Bottom