Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

Shetani Kafa ndo furaha yetu hayo mengine yanavumilika
 
Ndugu Mwanakijiji, frustrations walizonazo baadhi ya watu kuhusu Mama Samia hazizidi msongo mkubwa unaowakabili ninyi ambao mpaka muda huu hamuamini kuwa yule "mungu-mtu" wenu Mwendazake amefariki. He is gone for good. He took some of you guys for a long ride, sasa hamna pa kushikilia. Poleni sana πŸ€”
 
Hapana... hakuna wakati Tanzania ilikuwa kwenye nafasi ya kupiga hatua kubwa mbele kama wakati wa JPM. Kifo tumeumbiwa wote.. wazuri na wabaya, wema na waovu, wanyonge na wenye nguvu! Hata Mfalme Daudi alimlilia Mfalme Sauli aliyekuwa mtesi wake (2 Sam. 1:1-15).
 
Hatua kubwa kwa kumaliza watu waliomzidi akili na uwezo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…