Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa.
Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme linatafutwa. Eti wa maji ni mgumu wanatafuta wa jua!!! Halafu wengine wanasema wanataka wa upepo kwa vile wa mafuta ni ghali!
Mjini wanalia umeme visiting wanalia umeme. Kama lengo ni kuona basi si wasubiri mchana? Si kutakucha hata kama kuna making? Au mnataka umeme mwingi ili mfanye mojawapo ya hivi?
Mnahitaji umeme mwingi wa nini? Naamini kuna watu wanajua wakiwapa wote kama wao wanavyopata mtadeka na kudekeka. Kuna kundi la watu wanaamini mkiongezewa kile kinachoitwa "umeme wa uhakika" mtawasumbua sana watawala wetu...
Mtakuja na mamiradi na mashughuli....mwisho mtaanza kudai umeme wa nyuklia...!!
Kwa sasa Kinga kikopo, bakuli, ndoo au pipa lako unachiwekewa ndio hichohicho. Kwani mnautaka mwingi wa nini?
Nawatakia sikukuu njema za Krismasi na Mwaka Moya 2024.

- Muangalie TV msimisi "Juakali"
- Mjisomee somee
- Mkodoleane macho vizuri vyumbani (eti gizani havinogi)
- Vyakula visiharibike (hamjiulizi babu zenu walihifadhi vipi vyakula)
- Mchaji vi simu janja na komputa mpakato ili msikose TikTok