Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

SGR inakula umeme mwingi tu, nchi ya viwanda na yenye kutaka kufika uchumi wa juu wa kati sio ya kuuliza watu wake wanataka kuufanyia umeme shughuli gani!.

Mkuu amka huko kichwani kwako, bado umelala usingizi mzito sana.
 
Wale jamaa kule walitumia kovidi naintini watu wakapigwa loki dauni ili wao wafanye yao
Labda na hii ni hivyo hivyo
 
Mwanakijiji kama hauna cha kuandika sio lazima kuforce kuandika na kutukwaza kwamba hatuna matumizi ya msingi ya umeme! Rubbish
 
Mwanakijiji kama hauna cha kuandika sio lazima kuforce kuandika na kutukwaza kwamba hatuna matumizi ya msingi ya umeme! Rubbish
Rudia tena kusoma bandiko

Utalielewa kamanisha nini

Ova
 
Tunautaka mwingi tachomee mahindi🤣
 
Watawala wote waliotawala mda mrefu wanawajua wanachi wake,pia watawala wajanja wamekeweza kwenye kuwapumbaza.

Watawala wametembea,wanajua vitu vingi kuhusu nchi na siasa za sehemu mbalimbali. Ujuzi huo unawafanya wawe hodari kwenye kutumia kuawatawala wanachi wa eneo lake.
Watawala wa eneo letu washakua hodari na werevu jinsi ya kuawatawala mwanachi wa kawaida ambao ndio wengi na wapiga kura.
Ndio maana mwanachi wa kawaida kapumbazwa na vitu visivyokua na msingi na vitu vyote vya msingi haongei chochote.
 
Wale jamaa kule walitumia kovidi naintini watu wakapigwa loki dauni ili wao wafanye yao
Labda na hii ni hivyo hivyo
Tulipokuwq boarding siku ukipikwa Wali na nyama kama hauko beneti na viranja hautaona nyama na utabia kukodolea punje za Wali zikiogelea kwenye mchuzi....aliyenacho ataongezewa...
 
Mwanakijiji unatakiwa uende mbali na hapo. Wkt we unawaza domestic use, kuna watu wana run viwanda, na activity zinazo consume umeme mwingi. Kwa hali hii wasemaje?
Viwanda vipi hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…