Swali Fyatu: Ni Ufisadi 3.0?

Swali Fyatu: Ni Ufisadi 3.0?

Nakushauri mada zako muhimu uache kutumia neno "fyatu". linafanya mada za msingi zisichukuliwe serious.

Ufisadi wa Magufuli ni mwingi. Hata bunge hili la sasa ambalo ni feki ni ufisadi wake wa mamlaka.

Kuhusu ufisadi wa kifedaha, rejea ripoti za CAG juu ya upigaj mkubwai ktk miradi mikubwa kipindi cha JPM including SGR.
Nilipoona tu utangulizi wako nikaliona Kobaz na bichwa lisilo na chogo!!

Kila mtu anajua kwamba JPM hakuwa fisadi!!
 
Kwamba hatujui tulikuwa tunamkataa dhalimu kwa kipi, na sasa tunamkosoa Samia kwa kipi? Ni wapi ukatili wa dhalimu ni mbadala wa makosa ya Samia sasa?
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu dhalimu / msema na mtenda ya kweli. Wahenga walinena Ada ya mja hunena mwungwana ni kitendo. Hiyo ndiyo tofauti yao.
 
Huyu mama pale juu ni kituko hakika
Unaweza ukafanya maamuzi na kutokana na ignorance usijue kwamba unafanya maamuzi yanayovunja katiba au sheria za nchi.
Mama yenu ule mkataba wa DPW naamini hakuusoma kabla ya kuusaini...na kama uliusoma ndiyo akasaini..basi hakuuelewa.

Inawezekana pia huyu mama yetu aliuelewa lakini kutokana na kiburi cha madaraka aliusaini kama ulivyo ( hata nikusaini ulivyo, watanifanya nini?)
 
Nakushauri mada zako muhimu uache kutumia neno "fyatu". linafanya mada za msingi zisichukuliwe serious.

Ufisadi wa Magufuli ni mwingi. Hata bunge hili la sasa ambalo ni feki ni ufisadi wake wa mamlaka.

Kuhusu ufisadi wa kifedaha, rejea ripoti za CAG juu ya upigaj mkubwai ktk miradi mikubwa kipindi cha JPM including SGR.
Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali kama pilipoli hoyo report ya CAG huwa mnayosoma pekee yenu. Ndo maana mleta uzi akatoa tahadhari kwanza maana Alijua mtakereka
 
Na. M. M. Mwanakiji

Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza.

Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0

Wakati wa JMK tukashuhudia kukamilika kwa ufisadi.. Ufisadi 2.0

Sikumbuki ufisadi wakati wa JPM (najua nawakera)

Ila sasa duh...
..
Sasahivi watu wanapakua kila mtu ale kwa urefu wa kamba ake
 
Back
Top Bottom