Swali Fyatu: Ni Ufisadi 3.0?

Nilipoona tu utangulizi wako nikaliona Kobaz na bichwa lisilo na chogo!!

Kila mtu anajua kwamba JPM hakuwa fisadi!!
 
Kwamba hatujui tulikuwa tunamkataa dhalimu kwa kipi, na sasa tunamkosoa Samia kwa kipi? Ni wapi ukatili wa dhalimu ni mbadala wa makosa ya Samia sasa?
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu dhalimu / msema na mtenda ya kweli. Wahenga walinena Ada ya mja hunena mwungwana ni kitendo. Hiyo ndiyo tofauti yao.
 
Huyu mama pale juu ni kituko hakika
Unaweza ukafanya maamuzi na kutokana na ignorance usijue kwamba unafanya maamuzi yanayovunja katiba au sheria za nchi.
Mama yenu ule mkataba wa DPW naamini hakuusoma kabla ya kuusaini...na kama uliusoma ndiyo akasaini..basi hakuuelewa.

Inawezekana pia huyu mama yetu aliuelewa lakini kutokana na kiburi cha madaraka aliusaini kama ulivyo ( hata nikusaini ulivyo, watanifanya nini?)
 
Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali kama pilipoli hoyo report ya CAG huwa mnayosoma pekee yenu. Ndo maana mleta uzi akatoa tahadhari kwanza maana Alijua mtakereka
 
Sasahivi watu wanapakua kila mtu ale kwa urefu wa kamba ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…