Swali Fyatu: Sijui Nicheke au Nilie?

Swali Fyatu: Sijui Nicheke au Nilie?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Nikicheka ntaambiwa nina dharau najifanya najua sana. Nikicheka kimyakimya ntaambiwa nina kiburi. Nikilia ntaambiwa kwani we ndo unauchungu kuliko wengine? Unalia nini sasa kwani hukujua? Nikishika hamsini zangu ntaulizwa kwani hujali?

Hakuna kinachotokea ambacho hakikutabirika au kujulikana, mbona wote mlijua kitatokea. Samia mtamlaumu bure.

Kabudi uko wapi?
 
4C58F38B-4194-4E56-B9EA-E5CB751EA87E.jpeg
 
Nikicheka ntaambiwa nina dharau najifanya najua sana. Nikicheka kimyakimya ntaambiwa nina kiburi. Nikilia ntaambiwa kwani we ndo unauchungu kuliko wengine? Unalia nini sasa kwani hukujua? Nikishika hamsini zangu ntaulizwa kwani hujali?

Hakuna kinachotokea ambacho hakikutabirika au kujulikana...mbona wote mlijua kitatokea. Samia mtamlaumu bure...Kabudi uko wapi?
Tulishaambiwa kuwa CCM ni ukoo wa panya, kila mtu ni mwizi, kuanzia kura mpaka raslimali zetu
 
Come on man, fish stinks from the head, ulitaka Kabudi afanye nini? Kama Ndugai kwa kauli tu alindugaiwa na ni Spika wa Bunge ambalo linajitegemea ije kuwa Kabudi?
 
Back
Top Bottom