Swali Fyatu: Sijui Nicheke au Nilie?

Swali Fyatu: Sijui Nicheke au Nilie?

Nikicheka ntaambiwa nina dharau najifanya najua sana. Nikicheka kimyakimya ntaambiwa nina kiburi. Nikilia ntaambiwa kwani we ndo unauchungu kuliko wengine? Unalia nini sasa kwani hukujua? Nikishika hamsini zangu ntaulizwa kwani hujali?

Hakuna kinachotokea ambacho hakikutabirika au kujulikana...mbona wote mlijua kitatokea. Samia mtamlaumu bure...Kabudi uko wapi?
We lia tu, hakuna atakayejali. Mbona Prof. Nabi kalia kwenye matv kwa kulikosa kombe la caf na hakuna mtu aliyehangaika naye?
 
Nikicheka ntaambiwa nina dharau najifanya najua sana. Nikicheka kimyakimya ntaambiwa nina kiburi. Nikilia ntaambiwa kwani we ndo unauchungu kuliko wengine? Unalia nini sasa kwani hukujua? Nikishika hamsini zangu ntaulizwa kwani hujali?

Hakuna kinachotokea ambacho hakikutabirika au kujulikana, mbona wote mlijua kitatokea. Samia mtamlaumu bure.

Kabudi uko wapi?
FB_IMG_1686186261042.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona kama taifa tupo kwenye msiba, ni majonzi tu, yanayofanywa na hao jamaa hata Mungu anatushangaa.
 
Mnaongelea nini, na mimi nitoe mchango wangu
 
Back
Top Bottom