Swali Fyatu: Wanaosali kwa Gwajima wako Dini Gani?

Swali Fyatu: Wanaosali kwa Gwajima wako Dini Gani?

Ndugu yangu maswali yako yamekaa kihukumu vile!!nakushauri yule ni mtu wa Mungu hivyo mwache Mungu apambane na mtu wake,lkn kinywa chako kisitamke mabaya
 
Wanasali dini ya Gwajima kwani Kuna shida gani?

Mbona kuna watu wanasali dini ya Martin Luther wanaitwa Walutheri

Hao wanaitwa wagwajima yaani wafuasi wa Gwajima Kama walivyo wafuasi wa Luther waoitwa Walutheri
 
Hili swali angeulizwa wakati wa vikao vya chama.
 
wale wameokoka ni wafuasi wa Yesu Kristo na Gwajima ni mtumishi wa Yesu krissto,,,,,wana akili sana kwa sababu wamezaliwa upya sio kwa damu na nyama bali kwa roho mtakatifu,ni vigumu sana kuelewa
Amen
 
Gwajima ukimsikiliza kwa chuki unaweza ukadhani ni mjinga ila jamaa ni very smart man wakati utaongea
Smart?? That's the big joke!!! Huyo muhuni tuu ambaye kapata kundi la wajinga kama ilivyokuwa kwa yule Kibwetere...
 
wale wameokoka ni wafuasi wa Yesu Kristo na Gwajima ni mtumishi wa Yesu krissto,,,,,wana akili sana kwa sababu wamezaliwa upya sio kwa damu na nyama bali kwa roho mtakatifu,ni vigumu sana kuelewa
Wale waumini sijui ni binadamu wa kawaida?

Watakuwa ni kondoo tena walio wagonjwa mahututi.
 
Kwa vitabu za gwaji Yuko vzr Sana ..ukisoma vitabu za gwajima inamafundisho Sana ila kwa hili la kudhalilisha waziri madhabauni
 
Haya mambo yanachanganya wiki tatu hakuna mahubiri ni kuchambana tuu,sipati picha waumini wanatoka na hubiri gani!?
Waumini wake amewazidi akili, wao wanashangilia na kuona hayo ndio mahubiri.
 
Back
Top Bottom