Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

Demu kaja home alafu anauliza eti unataka nini baby!kama vile haiui nachotaka!natamani kujibu nataka nikubanjue[emoji125][emoji125][emoji125]
 
'Hiv ukinipa mimba utafanyaje??' asa sijui anakua anafikiria ntajibu vip, maswal mengine ya ajabu sana
 
Kuna mambo muhimu lazima uulize na ukiona jibu halitoki basi ujue kuna tatizo sehemu
 
Back
Top Bottom