Do u love me?Eti mara ya mwisho kufanya mapenzi lini? au umelala na wanaume wangapi? Au unaishi na nani? Maswali kama tupo mahakamani we eleza shida yako mengine hayakuhusu damnit
Kabila muhim jamaa,badae utasema hutaki kuulizwa jina wala umriSipendi namtongoza mwanamke anaanza kuniuliza kabila langu as if ataolewa au kugegedwa na kabila..pia sipendi mwanamke aniulize" kitu gani usichopenda nikifanye ""
Mambo muhimu kama yapi?Kuna mambo muhimu lazima uulize na ukiona jibu halitoki basi ujue kuna tatizo sehemu
Unafanya kaz gan?mambo yote yanayohusiana na hela
niliwahi kumhonga demu mil 10, akaniliza "hela yote hii, saa nitaifanyia nn?"Swali gan usilopenda mtu akuulze na akikuuliza anakukeraa??
sifanyi kaziUnafanya kaz gan?
kwa hiyo demu wako hajui jina lako mkuu?unaitwa nani?
Ngosha umetishaaniliwahi kumhonga demu mil 10, akaniliza "hela yote hii, saa nitaifanyia nn?"
sikulipenda kabisa swali hili!