Swali gani hupendi kuulizwa?

"mbona kimya sana" wakati yeye huwa anitafuti. swali hilo huwa linankera sana
 
Sipendi kuulizwa "UKO WAPI..?? Hasa akiniuliza wife. Aisee yan huwa napata moto...!!! Hata yy anajua
 
"Nikuambie kitu baby?"
Hilo swali silipendi ata kidogo nikiliulizwa tu nakosa nguvu na napata ugonjwa wa tumbo gafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…