Tena anasema huku anafanya kazi labda anafua nkNadhani kile wanasema umri unavyokwenda uwezo wa kupambanua nao unashuka kiko sahihi. Hawa wazee wetu mda mwingine kuepusha shari bora upotee eneo la tukio kwa muda.
Huyo anaesema huku anatembea kama pastor ni noma sana asee
Sasa wewe "upo wapi" linakukera vp wakati ni eneo tu anataka ajue ili kama kuna kitu asemeWe kama Mimi. Au Upo wapi
Inategemea limeulizwa na nani?Sasa wewe "upo wapi" linakukera vp wakati ni eneo tu anataka ajue ili kama kuna kitu aseme
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili sio swali nahisi ni kero yakeAlama ya kuuliza tuweke wapi hapo?