Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Sasa si ujitambulishe kuna ubaya gani..siku hizi watu wasiojulikana wengi...ugonge hodi hutaki kujitambulisha alafu unataka nifungue mlango kizembezembe tu..kuna mmoja alikuwa anagonga hodi nyumbani usiku dogo anamuuliza nani alafu linakaa kimya...yule mjinga nusura nitoke nje kumzaba vibaoNiende sehemu nipige Hodiiiiii afu mtu aropoke tu we nani ??? Inqniudhi sana