Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Sasa si ujitambulishe kuna ubaya gani..siku hizi watu wasiojulikana wengi...ugonge hodi hutaki kujitambulisha alafu unataka nifungue mlango kizembezembe tu..kuna mmoja alikuwa anagonga hodi nyumbani usiku dogo anamuuliza nani alafu linakaa kimya...yule mjinga nusura nitoke nje kumzaba vibaoNiende sehemu nipige Hodiiiiii afu mtu aropoke tu we nani ??? Inqniudhi sana
Hayo maswali me uwa yananiboa kinyama.Uko wapi sikuizi?
Unafanya ishu gani
Vibudu hao!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huku njaa inakuumaVibudu hao!
Ha ha ha haUna jero ya karibu ?
hahahaahahHalafu ukiangalia anayeuliza hivyo msichana wa kazi kaja mwezi uliopita hata ukitaja mimi fulani hakujui
Alama ya kuuliza tuweke wapi hapo?Kuseama ukwelu mie sipendi kuulizwa swali hili na ndugu : "kama mambo ni magumu kuna mganga mmoja atakusaidia"
Nimeapa siku wakijichanganya na mganga wao nawamwagia petrol
Siaminigi upuuzi huu
Hapo kwenye mganga kukusaidia?Alama ya kuuliza tuweke wapi hapo?
carol mtoto wa makongoKumbe unakunywa pombe? Huku na glass ya kileo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah inakera mnooUna jero ya karibu ?
Jibu TafadhaliMtu anakuuliza we ndio umejamba?