rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Katika maisha kuna mambo mengi sana ambayo unaweza ukawa unajiuliza hupati majibu na kuuliza unaogopa ebu tushirikishane kitu gani cha kijinga ulikuwa unajiuliza ukaja kupata jibu ukaishia kujicheka sana..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa najiuliza kitanda kinapitaje mlangoni wakati watu wanahama au kikinunuliwa???[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa najiuliza kitanda kinapitaje mlangoni wakati watu wanahama au kikinunuliwa???[emoji23][emoji23][emoji23]