Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Sana mkuuUmeoa? Utaoa lini? Unafanya nini siku hizi?
Ni maswali fulani hivi unaweza sema yamekaa ki innocent na aliyekuuliza anakutakia mema ila nimekuja ku realize ni maswali fulani hivi ya kichawi sana .
😁😀Wewe kabila gani.
Uko wapi.
#$@&?!$-#@?!
🤯👹👺🤡
Halafu kuniita 'my'
Silipendi na silitaki hilo neno!
Bladifakeni wahed👹👹👹my nini?!
My 🐱 😂Wewe kabila gani.
Uko wapi.
#$@&?!$-#@?!
🤯👹👺🤡
Halafu kuniita 'my'
Silipendi na silitaki hilo neno!
Bladifakeni wahed👹👹👹my nini?!
Sasa we ukipigiwa na unkown caller akakuuliza we nani na we humjui si utapasua simu mkuu😅Kunipigia simu na kuniuliza uko wapi? Kwan unanitaka mimi au unataka kujua sehemu nilipo wa hivyo nawajibu niko mbinguni naosha malaika ndevu hadi wanakata cmu wenyewe
Sasa we ukipigiwa na unkown caller akakuuliza we nani na we humjui si utapasua simu mkuu
SaafiiUna watoto wangapi sasa hivi?
Hili swali nimeulizwa jana na braza nakajibu 40 akakata simu
Kwanini? 😀😀kiukweli mi sipendi maswali ya aina yoyote ile
Maswali ya kiwaki 😂😂😂😂😂😂Swali gan unachukia kuulizwa
Mbona hausalimii watu
Siku hizi upo wapi
Unafanya kazi gani
Utaoa lini?
Unasali dini gani
Wewe kabila gani?Swali gani unachukia kuulizwa ?
Kuitwa my tu imeonyesha wewe sio level nilizokiwa nafikiria
Kwamba hizo chats zangu?Kuitwa my tu imeonyesha wewe sio level nilizokiwa nafikiria
Kumbe sio peke yangu. Sipendi watu wanao assume kila mtu anafuatilia mpira 😅Mtu anakukuta mahali hata hakujui anakuuliza Eti uliona lile Goli la Mzize?
Mzize ni nani? wa wapi?
Wengine mpira hata hatufuatilii mnatuchosha tu😁
Unakana wewe sio "my wake"?Kwamba hizo chats zangu?
My wake ndio nini😅Unakana wewe sio "my wake"?