Swali gani unachukia kuulizwa?

My wake ndio niniπŸ˜…

Hebu niambie hizo levels ulozonifikiria kwanza!
[/QUOTE]
Sasa hukusema mapema kama hupendi kuitwa my πŸ˜€ na kuna sehem tayali nimekuita my😭
 
My wake ndio niniπŸ˜…

Hebu niambie hizo levels ulozonifikiria kwanza!
Sasa hukusema mapema kama hupendi kuitwa my πŸ˜€ na kuna sehem tayali nimekuita my😭
[/QUOTE]

Lols Kwa mdada inavumilika
Ila sio kwa mkakaπŸ˜…
 
Kuulizwa unaoa mara huna mtoto mpaka sasa, kwann hunenepi, hajui ninachokipitia ni mazito sana,

Kuitwa my,, my ni nn ? Hakuna neno jingine zaidi ya my kama hakuna niite tuu secretarybird
Mimi nachukia demu akiniuliza, "kwa nini una dushelele refu na Nene kiasi hicho?". Huwa nashindwa kumjibu kwa sababu Mimi sijajitengeneza/sijajiumba mwenyewe.
 
Sasa hukusema mapema kama hupendi kuitwa my πŸ˜€ na kuna sehem tayali nimekuita my😭

Lols Kwa mdada inavumilika
Ila sio kwa mkakaπŸ˜…
[/QUOTE]
πŸ˜€πŸ˜€
 
Khaa!! Mtani uwe unajibu ili usipishane na magari ya mshahara. πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtaniiii!! Kwanza nichekee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamanii mbona nisiyaone kabisa hayo magari enyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…