Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Wanajamvi.

Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?.

Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote.

Siku hizi anaongea nonsense kabisa utafikiri anaongea na watoto wa Darasa la Pili C.

Shame on this Guy
 
Wanajamvi.

Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Ivi huyu Gerson Msigwa msemaje wa serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?.

Huyu jamaa Hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote.

Siku hizi anaongea nonsense kabisa utafikiri anaongea na watoto wa Darasa la Pili C.

Shame on this Guy
Jamaa unafiki ndio unamfanya awe hapo mpaka leo. Bila unafiki wengi tu hawatoboi.

CCM na unafiki, chanda na pete.
 
Siku hizi anaongea nonsense kabisa utafikiri anaongea na watoto wa Darasa la Pili C.
Hapana mkuu huyu ni wa Kuchonga kama sio wa Kuchora, si ulishasikia waliambiwa kwamba kila Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, sasa wewe unataka ale hadi na kamba yenyewe aikate kisha aharibu utaratibu mkuu?

Hapo ndipo kamba yake ilipoishia mkuu usimlaumu sana, asije akakitia mchanga kitumbua chake au hujui kila mtu anatetea ugali wake kwa namna yake?
 
Hapana mkuu huyu ni wa Kuchonga km sio wa Kuchora, si ulishasikia waliambiwa kwamba kila Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, sasa wewe unataka ale hadi na kamba yenyewe aikate kisha aharibu utaratibu mkuu?

Hapo ndipo kamba yake ilipoishia mkuu usimlaumu sana, asije akakitia mchanga kitumbua chake au hujui kila mtu anatetea ugali wake kwa namna yake?
Basi Sawa. Lakini anatumika vibaya
 
Alipata permanent brain damage baada ya kifo cha Magufuli. Kwa kifupi jamaa hajitambui tena wala hajiamini kabisa anahisi muda wowote atapotezwa kwenye mfumo
 
Awamu ya tano alikuwa na nidhamu ya woga kwa JPM

Awamu ya sita anajipendekeza basi tu hana jinsi
 
They only care about personal gains !! This makes them completely blinded and with no regards to reality!!
 
Back
Top Bottom