The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Jamaa unafiki ndio unamfanya awe hapo mpaka leo. Bila unafiki wengi tu hawatoboi.Wanajamvi.
Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Ivi huyu Gerson Msigwa msemaje wa serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?.
Huyu jamaa Hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote.
Siku hizi anaongea nonsense kabisa utafikiri anaongea na watoto wa Darasa la Pili C.
Shame on this Guy
Hapana mkuu huyu ni wa Kuchonga kama sio wa Kuchora, si ulishasikia waliambiwa kwamba kila Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, sasa wewe unataka ale hadi na kamba yenyewe aikate kisha aharibu utaratibu mkuu?Siku hizi anaongea nonsense kabisa utafikiri anaongea na watoto wa Darasa la Pili C.
Anaongelea pointless.Anaongea pumba ama anaongea visivyokufurahisha?
Basi Sawa. Lakini anatumika vibayaHapana mkuu huyu ni wa Kuchonga km sio wa Kuchora, si ulishasikia waliambiwa kwamba kila Mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, sasa wewe unataka ale hadi na kamba yenyewe aikate kisha aharibu utaratibu mkuu?
Hapo ndipo kamba yake ilipoishia mkuu usimlaumu sana, asije akakitia mchanga kitumbua chake au hujui kila mtu anatetea ugali wake kwa namna yake?