Swali gumu kwa Atheists

Binadamu amepitia mageuzi akawa sentient(akapata utashi)

Mashoga wanaoamini uwepo wa Mungu wapo sana tu, sema nimeshaona unaelekea wapi, huu mjadala hauna afya
sasa kwa nini mbuzi hawajapitia mageuzi ya namna hiyo????,na kama mashoga wanamwamini MUNGU mambo wanayofanya wanaweza kubeba mimba?
 
ADAM alipoumbwa kazi ya kwanza aliyopewa na MUNGU ni kuwapa majina wanyama!!!{ndio chanzo cha ubatizo].....so binadamu yupo kwa ajili ya kutumikia MUNGU,ndo manake tunaamini ktk MUNGU na ndo manake kuna dini mbalimbali,ukrsto,uislam,budism,hindu n.k,,,,,,na ndo manake kuna misikiti,makanisa,mahekalu n,k,,,so,wakti watu wakiishi kwa ajili ya MUNGU,wanyama wanaishi kwa ajili ya binadamu,ndo manake baadhi yao tunawala,na ndo manake binadamu hawaliwi!!!!!! au sio???.......sasa wewe ndugu yangu usiyekuwa na shukran ya uumbaji wa MUNGU au uwepo wake nataka nikuulize swali!!! ivi mbuzi wana dini au miskiti au wanaabudia wapi??? naje??? ulishawahi kuona makaburi ya wanyama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…