Swali gumu. . . . . . .!!

Swali gumu. . . . . . .!!

Huyo dada hafanyi cheating (usaliti) yoyote kwani hana mtu anayemrusha roho...Ila huyo mume wa mtu anamcheat mke wake....
Kwa vile amekiri kuwa si vizuri na kwamba anapenda kuwa committed basi agentafuta wake aachane na ku-share mume wa mtu!!
Babu DC!!

Ulikuwa wapi jana wakati nashambuliwa? Mimi nilisema, jina linalomfaa ni mwizi na si cheater!

Thanks DC!
 
@RR
Bora umekuja, naona wengi wataelewe maana halisi ya cheating na nani anacheat.

Issue ya jana ni hii
Mimi sijaolewa ninatoka na mume wa mtu (ndiye nina commitment naye); na sina commitment na mtu mwingine yoyote zaidi ya huyo married man. Do l cheat? Najua si vizuri na bla bla zake, swali ni do l CHEAT?

You are not cheating. He is cheating on his wife with you, but you are not cheating on anybody. Kwa vile you are not married, you are fornicating. Kwa misingi ya kidini na kimaadili unamkosea huyo mwanamke mngine kwa kutembea na mume wake. Kwa msingi wako binafsi naona hujaona kuna makosa sababu huna mkataba wowote na huyo mwanamke. mkataba ni kati ya mpenzi wako na mke wake.
Binafsi sifagilii kabisa suala la mtu kua na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu ila kuna circumstances nyingi zinasababisha watu wafanye hivo, so I cannot judge.
Ila kwa suala la ku-cheat jibu ni NO, YOU ARE NOT CHEATING ON ANYONE.
 
Kucheat ni kudanganya kwenye mapenzi kwa watu walio mapenzi. Kwamba kucheat kunajumuisha uzinzi na uasherati. Kuzini ni kumega nje ya NDOA. Kwa kifupi kuzini kunahusisha wanandoa wakati kucheat haijalishi wenye ndoa au wachumba au bf vs gf. Nyosha mkono juu kama hujaelewa.

kwa uelewa wangu ni kama umegeuza maana. Kuzini haijalishi upo ndani ya ndoa au kabla ilimradi unafanya ni kwamba unazini, kucheat ni kwa mtu alie ndani ya ndoa.
 
Thanks RR
That was my point yesterday, tulivyokuwa tunavutana na Mnyama Hatari na nafikiri hii thread ni tunda la ubishi wa jana.

Nami sifagilii kabisa stealing ya mume/mke wa mtu.

Issue ilikuwa kuyachanganya maneno au maana zake, nafikiri wabongo tumefall in love with the word CHEATING that tunalitumia hata pasipo stahili.

On my side sikuwa na shida ya moral issues, shida yangu ilikuwa maana ya neno!

Thanks again, kwa ufafanuzi super moderator!
 
Kaunga hapo wewe unazini, hilo lijamaa lina cheat
 
Poleeee. Jana ulikua peke yako hapakua na waku-back up. But naona uliweza kuzalisha doubt kichwani mwake. Ukiona mtu analala, then anaamka na kuanzisha thread ya kuomba ufafanuzi, faham a great thinker has been thinking about what another great thinker told him/her.
 
Kaunga hapo wewe unazini, hilo lijamaa lina cheat

That was my point!
Lkn hata hiyo ya kuzini du? Wengine wangesema ninafanya uasherati na sio kuzini!
Aldutery ndio kuzini?????? =kutembea nje ya ndoa
Fornication ndio uasherati??????= kufanya ngono kabla ya ndoa.

Wataalamu wa kiingereza watusaidie pia.
 
Ulikuwa wapi jana wakati nashambuliwa? Mimi nilisema, jina linalomfaa ni mwizi na si cheater!

Thanks DC!

Mbona hukunistua na wewe?

Watu wanachanganya mambo...Dada ambaye hayajoelewa na hana mahusiano na mtu mwingine, akitembea na mume wa mtu basi anafanya zinaa ila siyo cheating....Ili iwe cheating, lazima mtu awe na uhusiano na mwenzi wake halafu achepuke na kufanya zinaa au matendo yasiyofaa na mtu mwingine.

Pia watu wanashindwa kutambua kwamba cheating siyo lazima iwepo zinaa bali hata maneno/matendo ya kimahaba nje ya mahusiano ni cheating!!

Hapa suala la uadilifulifu hatujaliongelea kabisa, bado tunaweka sawa hali ya hewa!!

Babu DC!!
 
Hivi kucheat na kuzini vina maana moja?Tafadhali naomba ufafanue utakaposema ndio au hapana!

Cheat(ing) ni neno la Kiingereza

(Ku)zini ni neno la Kiswahili.

Ukitafuta maana ya maneno yote mawili utaishia kupotea tu kwa sababu hilo neno la Kiingereza kwenye Kiingereza lina maana pana.

Na neno (ku)zini kwa Kiswahili maana yake si pana kama cheating lilivyo kwa Kiingereza.

Au labda mimi niko nje ya mguso na sijui kuwa siku hizi 'cheating' ni neno la Kiswahili?
 
kwa uelewa wangu ni kama umegeuza maana. Kuzini haijalishi upo ndani ya ndoa au kabla ilimradi unafanya ni kwamba unazini, kucheat ni kwa mtu alie ndani ya ndoa.

Mkwai,

Wewe ndiye umekoroga mambo kabisa!!!

Ili uzini lazima uwe na ndoa...kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni uashareti kama walivyosema wadau!

Ila kucheat si lazima uwe kwenye ndoa, kwani unaweza kumcheat GF au BF apart from spouses!!

Babu DC!!
 
Cheating -katika mahusiano inamaanisha kutongoza au kujihusisha na mapenzi (ngono) na mpenzi au yeyote anaetokea kwa usiri/kificho ili mwenzi wako asijue haijalishi mmefunga pingu za maisha au pingu za ujana tu.
Uzinzi-Adultery...hii inahusisha kufanya mapenzi kwa wanandoa nje ya ndoa yao (yaani mke/mume wa mtu kufanya mapenzi na mume/mke wa mtu mwingine tofauti na waliefunga pingu za maisha).
Kama mume/mke akifanya mapenzi na mtu ambae si mwanandoa huo ni UFUSKA.
Na kama mtu ambae si mwanandoa anafanya ngono kama vijana wengi wa sasa wafanyavyo..huo ni uasherati (Fornication).
 
Mbona hukunistua na wewe?

Watu wanachanganya mambo...Dada ambaye hayajoelewa na hana mahusiano na mtu mwingine, akitembea na mume wa mtu basi anafanya zinaa ila siyo cheating....Ili iwe cheating, lazima mtu awe na uhusiano na mwenzi wake halafu achepuke na kufanya zinaa au matendo yasiyofaa na mtu mwingine.

Pia watu wanashindwa kutambua kwamba cheating siyo lazima iwepo zinaa bali hata maneno/matendo ya kimahaba nje ya mahusiano ni cheating!!

Hapa suala la uadilifulifu hatujaliongelea kabisa, bado tunaweka sawa hali ya hewa!!

Babu DC!!

Majadiliano ya jana yalitafsiriwa vibaya. Mimi nilisema kwa mtu yeyote yule kutembea na kulala na mtu aliyeko kwenye ndoa huku akiwa na ufahamu wa hiyo ndoa ya huyo mtu atembeaye naye, tendo hilo la yeye kutembea na mwanandoa huyo ni baya tu kama lilivyo tendo la huyo mwanandoa kumsaliti mwanandoa mwenzake.

Ndiyo nikatolea mfano wa msaidizi wa mwizi naye ni mwizi tu na baadhi ya watu wakatoa mifano (analogy) ya kisheria kwamba, kisheria ukimsaidia mwizi kufanikisha uwizi wake basi na wewe utakuwa held responsible kwa hilo tendo la uwizi (accessory before/ after the fact).
 
DC
You are the best, next time nitakustua!
About kuzini, bado fafanua.
Nilivyokuwa A-level, nilitongozwa na mseminari mmoja hivi (shule yetu ilikuwa Jirani nao)
Nikamwambia kuwa unataka tuzini? Tuvunje Amri ya Sita?
Akaniuliza 'umeolewa?' nikasema no
Akaendelea, 'mimi nimeoa?' nikasema sidhani

Akasema 'hapo tutazini vipi?'
I was speechless kwa muda.

Years later when doing my confession, nilivyosema nimezini mara..... LOL, Fr, akaniuliza the same question; (nafikiri it was for the sake of councilling). Nikaja kumuuliza Mlokole mmoja; akasema if you are not married, unafanya uasherati na si kuzini!

So hapa bado mahitaji ufafanuzi!
nikaongea na mdada mmoja wa kilokole
 
You are not cheating. He is cheating on his wife with you, but you are not cheating on anybody. Kwa vile you are not married, you are fornicating. Kwa misingi ya kidini na kimaadili unamkosea huyo mwanamke mngine kwa kutembea na mume wake. Kwa msingi wako binafsi naona hujaona kuna makosa sababu huna mkataba wowote na huyo mwanamke. mkataba ni kati ya mpenzi wako na mke wake.
Binafsi sifagilii kabisa suala la mtu kua na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu ila kuna circumstances nyingi zinasababisha watu wafanye hivo, so I cannot judge.
Ila kwa suala la ku-cheat jibu ni NO, YOU ARE NOT CHEATING ON ANYONE.

RR,

Umeongelea vitu viwili katika hii post yako. Kwanza umeeleza vizuri katika kufafanua maana ya kile anachokifanya dada ambaye Kaunga kamwelezea. Hili la pili linalohusu mtazamo wako juu ya kile kinachoendelea ni jambo zito. Linategemea na mtu mwenyewe, kwani wapo watu ambao wanachulichukulia kirahisi rahisi.

Ila mie nimefurahi kwamba mhusika mwenyewe (mwizi wa mume wa mtu) tayari anatambua kwamba anafanya jambo baya!! Akipata ushauri mzuri may be anaweza kuachana na huo upuuzi!

Ndiyo maana nikasema kuwa jamii zetu mara nyingi zinavumilia uzinifu na uasherati ingawa zinakerwa kwa kiasi fulani na usaliti/cheating.

Babu DC!!
 
Cheating -katika mahusiano inamaanisha kutongoza au kujihusisha na mapenzi (ngono) na mpenzi au yeyote anaetokea kwa usiri/kificho ili mwenzi wako asijue haijalishi mmefunga pingu za maisha au pingu za ujana tu.
Uzinzi-Adultery...hii inahusisha kufanya mapenzi kwa wanandoa nje ya ndoa yao (yaani mke/mume wa mtu kufanya mapenzi na mume/mke wa mtu mwingine tofauti na waliefunga pingu za maisha).
Kama mume/mke akifanya mapenzi na mtu ambae si mwanandoa huo ni UFUSKA.
Na kama mtu ambae si mwanandoa anafanya ngono kama vijana wengi wa sasa wafanyavyo..huo ni uasherati (Fornication).

Sina hakika na neno ufuska, ila nadhani huyo mwenye ndoa anafanya uzinzi wakati asiye na ndoa anafanya uasherati!!

Babu DC!!
 
Majadiliano ya jana yalitafsiriwa vibaya. Mimi nilisema kwa mtu yeyote yule kutembea na kulala na mtu aliyeko kwenye ndoa huku akiwa na ufahamu wa hiyo ndoa ya huyo mtu atembeaye naye, tendo hilo la yeye kutembea na mwanandoa huyo ni baya tu kama lilivyo tendo la huyo mwanandoa kumsaliti mwanandoa mwenzake.

Ndiyo nikatolea mfano wa msaidizi wa mwizi naye ni mwizi tu na baadhi ya watu wakatoa mifano (analogy) ya kisheria kwamba, kisheria ukimsaidia mwizi kufanikisha uwizi wake basi na wewe utakuwa held responsible kwa hilo tendo la uwizi (accessory before/ after the fact).

Sawa kabisa!!

Ila burden wanazobeba ni tofauti...Yaani mwizi na msaidizi wake hawawezi kubeba mzigo ule ule, na tena mwizi wa kutoteza uaminifu!

Babu DC!!
 
DC
You are the best, next time nitakustua!
About kuzini, bado fafanua.
Nilivyokuwa A-level, nilitongozwa na mseminari mmoja hivi (shule yetu ilikuwa Jirani nao)
Nikamwambia kuwa unataka tuzini? Tuvunje Amri ya Sita?
Akaniuliza 'umeolewa?' nikasema no
Akaendelea, 'mimi nimeoa?' nikasema sidhani

Akasema 'hapo tutazini vipi?'
I was speechless kwa muda.

Years later when doing my confession, nilivyosema nimezini mara..... LOL, Fr, akaniuliza the same question; (nafikiri it was for the sake of councilling). Nikaja kumuuliza Mlokole mmoja; akasema if you are not married, unafanya uasherati na si kuzini!

So hapa bado mahitaji ufafanuzi!
nikaongea na mdada mmoja wa kilokole

You could be right pia. Kuzini: committing adultery, Kufanya uasherati: fornicating.
Ila siku hizi naona born again christians (hasa wenyewe) wanasema if you have sex with somebody, kama hamjaoana, na hamna nia ya kuoana, tayari umezini sababu huyo ni mke wa mtu 'to be' , na mwanaume ni mume wa mtu 'to be'. kama hapo wewe Kaunga (I suppose you are not married) ukikutana na mwanaume ambae hajaoa na hana nia ya kukuoa wewe, umesha cheat on your husband to be, so it is adultery. Binafsi naona it is too complicated. Dhambi ni dhambi tu, why create dhambi in anticipation? Sijui ukweli ni upi ila kwa mtazamo wangu Anae zini ni yule anae tembea na spouse wa mtu, au anae toka nje ya ndoa. Wengine wanafanya uasherati.
 
Back
Top Bottom