Swali gumu. . . . . . .!!

Swali gumu. . . . . . .!!

Hapo kahaba anakuwa anajua marital status ya huyo anayemegana naye au anakuwa hajui?

Manake katika mjadala wa jana na by extension huu wale ni kwamba huyo mtu wa pili anakuwa analala na huyo mwanandoa huku "akijua" kuwa huyo mwanandoa yuko kwenye ndoa.

Sasa kahaba unayenunua mtaani naye anakuwa anajua marital status ya huyo mteja ama?

Kahaba yuko kazini na hana sababu ya kujua marital status ya mteja wake,.. haimhusu kabisa...

Nimetumia mfano huo kuonesha kuwa kahaba hawezi kubeba makosa ya mteja wake. Anabeba ya kwake tu (kama yapo).

Mwanamke aliye nje ya mahusiano akitembea na mume wa mtu, anaweza kufanya hivyo huku akijua au la. Kama hajui, basi anabebe mzigo wake mwenyewe kama mfano huo wa kahaba. Ila kama anajua, atabeba pia lawama kwamba pamoja na kuwa amekwenda kinyume na maadili kwa kufanya uasherati, ameenda bali zaidi kwa kutembea mume wa mtu. Kwa msingi huo, anakuwa amemkosea mke wa huyo mwanamume pia. Kwani atakuwa amefanya jambo ambalo hapenda kutendewa.

Ila kama nilivyosema huko nyuma, huyo mwanamke hana kiapo au nadhiri ya uaminifu kwa mtu yeyote (including mke wa huyo mwanamue). Kwa maana hiyo, ana makosa ila hajamsaliti mtu (she has not cheated anyone)!!

Babu DC!
 
Kwa kosa la kuzini hakuna akomplesi hapo, kama ilivyo kwenye uasherati. Kila mtu ni mtuhumiwa mbele za Mungu!

Kwenye kuvunja ahadi hakuna akomplesi pia, mwenye kosa ni aliyevunja ahadi; ila yule mwingine hajatenda vyema kuumiza furaha ya ndoa ya mwenzie (na hiyo inategemea moral zake kama alivyosema RR)


Safi sana Kaunga,

Ungekuwa karibu na Babu angekuchumu na kukusimulia story za enzi zetu ili ulale unono!!

Babu DC!!
 
RR and DC
Asanteni sana kwa michango yenu!
I like hiyo ya kumcheat mume to be. Jana Husninyo alisema yeye anajicheat mwenyewe; nami as a Catholic nafundishwa kuwa mwili wangu ni hekalu la Roho Mtakatifu, so even before thinking of mume to be; namcheat Holy Spirit!

Unamcheat Holy Spirit!!!!
 
ha ha ha, ulidhani haogopi?

Kuna wengine huwa wanajitoa tu ufahamu! Atleast ye kakaa na hilo neno, before/after the act aweza kumbuka walau confession! (thats my take as kicandy, mistari ya Kaunga imenifanya mpaka sasa nafikiria kitu.....though nipo oftopik kidogo)
 
kuzini ni kufanya mapenzi nje ya mpango wa kawaida wa kufurahia ndoa na kwa nia ya kutengeneza watoto
ku-cheat ni kufanya jambo ambalo ni kinyume na ahdi yako kwa mpenzio (relationship terms)
 
Kwa wale waislamu wanajua maana ya kuzini.Ukimwangalia mwanamke na kumtamani hapo tunasema umekwisha zini naye hii ni kutoka kwenye mafundisho ya dini.Ila kwenye kucheat sasa sina uhakika sana ila ninachofahamu huyu mtu anakuwa tayari kaanza mahusiano mengine nje
 
Kucheat ni kudanganya/kusema uongo
Kuzini ni kufanya mapenzi nje ya ndoa
Nasikia hata ukimtamani mwanamke ambaye hujamuoa
WAKRISTO. Bali hata yule amtazamaye mwanamke kwa kumtamani
amekwishakuzini naye moyoni mwake.

WAISLAMU: Jicho la kwanza halina kosa yaani ukiona usirudie tena
kama ni mke/ au mme mmepishana basi ukigeuka kumtazama
kwa kumtamani UMEZINI pia.

Sasa sijui wale wanaokumbatiana kwenye daladala inakuwaje maana wengine
mpaka wanaji........ eti mfadhaiko. Lakini mazingira yanasababisha hivyo maana
wengine wanakuwa na njaa ya siku nyingi.
 
Nazidi kupata mawazo tofauti sana na nilipokua naandika hii threadi!
 
Swali gumu kivip wewe!
kwanza chukua dictionary ya english-swahili...... cheat=danganya.
kuzini = ni kufanya ngono nje ya ndoa.
kufanya ngono kabla ya ndoa SI KUZINI bali ni uasherati. hata kama una girlfriend permanent na ukawa unacheza match za ugenini, bado hujazini, bali yote hayo ni uasherati.
NASEMAJE; KUZINI KUNAAPLY KWA WALIO KWENYE NDOA FULL STOP
 
Nazidi kupata mawazo tofauti sana na nilipokua naandika hii threadi!

Toa LIKE basi kwa mapwenti yaliyokufurahisha na kukutatiza; umepewa over 400 na umegive NONE!
 
Nasikia hata ukimtamani mwanamke ambaye hujamuoa
WAKRISTO. Bali hata yule amtazamaye mwanamke kwa kumtamani
amekwishakuzini naye moyoni mwake.

WAISLAMU: Jicho la kwanza halina kosa yaani ukiona usirudie tena
kama ni mke/ au mme mmepishana basi ukigeuka kumtazama
kwa kumtamani UMEZINI pia.

Sasa sijui wale wanaokumbatiana kwenye daladala inakuwaje maana wengine
mpaka wanaji........ eti mfadhaiko. Lakini mazingira yanasababisha hivyo maana
wengine wanakuwa na njaa ya siku nyingi.
Dah naona GAZETI unaibua ishu mpya hapa....Sasa mada itakuwa ngumu sana..
Kwa maneno yako hata wasio na ndoa pia wakimwangalia mtu na kumtamani wanakuwa wamezini....
Dah pagumu
 
Swali gumu kivip wewe!
kwanza chukua dictionary ya english-swahili...... cheat=danganya.
kuzini = ni kufanya ngono nje ya ndoa.
kufanya ngono kabla ya ndoa SI KUZINI bali ni uasherati. hata kama una girlfriend permanent na ukawa unacheza match za ugenini, bado hujazini, bali yote hayo ni uasherati.
NASEMAJE; KUZINI KUNAAPLY KWA WALIO KWENYE NDOA FULL STOP

Kwa taarifa yako hata baadhi ya wanandoa wanazini pia yaani
wamefunga ndoa lakini bado wanapokutana hesabu yao ni
WAZINIFU tu! Unalifahamu hilo?
 
Du Ndoto mbaya! Ndizo nilizoota!!! Again kiukwelii.


Pole sana,

Kama umesali vizuri na bado devil akakukaribia basi inabidi uombewe....


Omba tu msaada ili wenye upako wajitokeze kukupa support!!


Babu DC!!
 
Back
Top Bottom