Kidudu Mtu
Member
- Nov 7, 2009
- 64
- 0
SAMAKI WA MAGUFULI.....
Akizungumzia tuhuma za serikali kutumia gharama kubwa katika uhifadhi wa samaki hao, Waziri Magufuli alisema serikali haijatumia gharama kubwa kama inavyofikiriwa bali imetumia Sh800 milioni tu.
Hili limekuwa ni fundisho kubwa kwa watu wengine... hakuna mtu atakayejaribu kuingia kichwa kichwa tena, lakini hakuna hasara hapa na gharama zilizotumika ni Sh800 milioni tu, alisema Magufuli.
.........................................
Swali: je Sh. 800 milioni si hasara? Au Mh. Magufuli kwenye kamusi yake hasara huanzia shilingi ngapi?