Swali: Hasara inaanzia shilingi ngapi?

Swali: Hasara inaanzia shilingi ngapi?

Kidudu Mtu

Member
Joined
Nov 7, 2009
Posts
64
Reaction score
0
SAMAKI WA MAGUFULI.....

Akizungumzia tuhuma za serikali kutumia gharama kubwa katika uhifadhi wa samaki hao, Waziri Magufuli alisema serikali haijatumia gharama kubwa kama inavyofikiriwa bali imetumia Sh800 milioni tu.

“Hili limekuwa ni fundisho kubwa kwa watu wengine... hakuna mtu atakayejaribu kuingia kichwa kichwa tena, lakini hakuna hasara hapa na gharama zilizotumika ni Sh800 milioni tu,’’ alisema Magufuli.

.........................................

Swali: je Sh. 800 milioni si hasara? Au Mh. Magufuli kwenye kamusi yake hasara huanzia shilingi ngapi?
 
Hasara ni pale matumizi au uwekezaji kuzidi mapato....kwa hili la Magufuli anaweza kuwa sahihi...wakati mwingine inabidi kuingia gharama(sio hasara) kuweka mambo sawa,watu walikuwa wanaiba maliasili bahari bigtime na ndipo hasara iko huko...rais wetu akisafiri mara moja hutumia 50m...hiyo ni gharama sio hasara...generally matumizi ya serikali ni gharama zaidi kuliko hasara
 
mkuu au inawezekana ikawa ni matumizi yasio ya msingi?au tujaribu angalia mwisho wa kesi,inawezekana kuuzwa kwa meli na fidia zingine itaingizia taifa 1billioni,hapo kweli 800mill itakua sio hasara,
 
Back
Top Bottom