Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nina maswali ambayo nimeyawaza baada ya ku smell kitu.
Ni kama vile wasimamizi wa nishati na mafuta kama wanafanya biashara ya mafuta hivyo wanajiimarisha kiuchumi.
Swali 1.
Haya mafuta yaliyoanza kuuzwa leo kwa bei ya juu yameingia lini nchini?
Swali 2.
Mafuta yale ya bei ya zamani yameishia au yamekadiriwa kwisha siku ya jana?
Swali 3.
Hayo mafuta yaliyoagizwa na serikali yatakapoingia yatauzwa kwa bei hii ya sasa, bei ya zamani au bei mpya (kubwa au ndogo zaidi).
Swali langu kuu limelala hapo nambari 5.